Rais Samia: Jengo la Kariakoo kulikuwa na mchanga mwingi kuliko nondo na saruji

..pia kuna suala la vita vya DRC.

..Mama Abduli ndiye Mwenyekiti wa tume ya ulinzi ya SADC.

..huu ndio muda wa kuvaa kofia ya Amiri Jeshi Mkuu.
Lipo nje ya upeo wake. Anasubiri aletewe maamuzi ya kusema.
 
Tayri ripoti imekanilika kua nondo n mchanga mwingi (Dar ni pwani ya BAHARI)
Je maamuzi yake nn?je akuna kuwajibika?
KAZI ni kipimo cha UTU
 
Bado report ya mauaji ya Ally Kibao haijamfikia?
 
Chalamila ni punye
 
Hata mimi sioni szbahu ya hiyo bending hapo. Naona kampeni inaendelea.... siku hizi kila Mkusanyiko ni kampeni ya Mama Abdul.
Watu wanashida kibao, kuna sababu gani ya kuita watu hapo? angeeda field aone kinachoendelea baada ya kutokea moto
 
Walikuwa hawajui au
Maana ujenzi mwingi huko
Kko ni takataka tu

Ova
 
Mchanga mwingi wakati nondo na saruji chache sio kiini cha tatizo (root cause)

Chanzo ni utanuzi wa orofa kwenye kitako (basement) ili kuanzisha orofa zingine kwenda chini na kubomoa kuta kingamo ili kuongeza nafasi za kupangisha biashara. Mbona mnaremba na ripoti hizi ghushi?
 
Viongozi wetu wanaongea kama wanaota. Sasa soko na janga vinahusiana vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…