johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mwambie mama asahau kabisa hio haipoRais Samia amelitaka Jeshi la polisi kutumia sheria kwa ajili ya kudhibiti na siyo kama kama kitega uchumi cha kujiingizia mapato mfano utozaji wa faini za makosa ya barabarani
Source: TBC
Tuna sheria za kipumbavu sn za barabarani, faini ya pikipiki inalingana na V8 zote elfu 30 kweli?Rais Samia amelitaka Jeshi la polisi kutumia sheria kwa ajili ya kudhibiti na siyo kama kama kitega uchumi cha kujiingizia mapato mfano utozaji wa faini za makosa ya barabarani
Source: TBC
Mwendazake alisema tuwape hela ya kubrashia Viatu.Leta leseni kimashine kinachomolewa unanipa ten au nikuchoree. Askari barabarani kwa rushwa nimewavulia kofia.
RPC arusha, fuatilia kituo cha polisi Usa River . Traffic pale ni changamoto na watu wananunua utrafic na kununua kituo ili apangwe Usa River.Rais Samia amelitaka Jeshi la polisi kutumia sheria kwa ajili ya kudhibiti na siyo kama kama kitega uchumi cha kujiingizia mapato mfano utozaji wa faini za makosa ya barabarani
Source: TBC
Jeshi la polisi litakiwa kufumuliwa haswaJuzi nimepigwa faini ya driving over speed limit, eti kwenye 50kph nilikuwa naendesha kwa 52kph, namuuliza afande, margin or error ya hii speed gun yako ni ngapi? Anakuwa mkali kama pilipili
Na wamepigwa chanjo against Takukuru. Wameshindikana.Nadhani kuna dawa ya kuwa corrupt wamelishwa ya kufanya hivyo, labda kama kuna anti corruption yake wanyweshwe kwa lazima
Badala ya kujibu swali atakuambia unajifanya msomimargin or error ya hii speed gun yako ni ngapi?
Overspending balaa kwakweli ...heheheeHuku Kigamboni - Kimbiji traffic wanajificha na kuchomoza ghafla wanakubambikia overspending
Binafsi hapa sijaelewa mkuukuchomoza ghafla wanakubambikia overspending
R.i.h=Rest in heaven?Jiwe (r.i.h) alikuwa anafurahi sana anaposikia mapato yameongezeka bila kujali pesa ni ya dhuluma au ya heri.
R.i.h=Rest in heaven?
Hahahaaaa....... Naunga mkono hoja!Binafsi hapa sijaelewa mkuu
Dah polisi wakifuata hili kwa 50% tutashuka kiuchumi maana moja ya chanzo kikubwa cha mapato cha mwendazake ilikua ni fine za BarabaraniRais Samia amelitaka Jeshi la polisi kutumia sheria kwa ajili ya kudhibiti na siyo kama kama kitega uchumi cha kujiingizia mapato mfano utozaji wa faini za makosa ya barabarani
Source: TBC
Bonge la hoja hiloRais Samia amelitaka Jeshi la polisi kutumia sheria kwa ajili ya kudhibiti na siyo kama kama kitega uchumi cha kujiingizia mapato mfano utozaji wa faini za makosa ya barabarani
Source: TBC