Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Kama ulikuwa unajiuliza kwanini Kabudi amechaguliwa kwenye Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo hivi leo Rais Samia ametoa sababu ya kumchagua Kabudi kwenye nafasi hiyo.
Rais Samia akiwa anawaapisha viongozi wapya leo, amesema kuwa ameipitia CV ya Kabudi na ameona kuwa yeye ni mwanahabari mzuri kwa hiyo anategemea atafanya kazi nzuri katika Wizara hiyo.
Samia amesema kuwa Kabudi atahusika sana na mambo ya Habari huku Mwana FA atakuwa akihusika zaidi na masuala ya Sanaa na Michezo