GE2025 Rais Samia Kafanya Makubwa na anaelezea kwa uzuri sana Mipango yake Mikubwa na mizuri kwa Tanzania yetu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Joined
Apr 12, 2018
Posts
72
Reaction score
38
Msimu wa kampeni ndio huu umezinduliwa,Jukwaa kwa Mh.Rais Samia Suluhu analimudu vyema kwani kashafanga makubwa na wananchi tumejionea.

Kila anachosema kinaendana na tunachokiona katika Mikoa,Wilaya,Kata na Vijiji vyetu yaani kila pahala kaweka alama kwa kujenga na kuboresha miundo mbinu ya Elimu,Afya,Barabara,Maji,Michezo,Kilimo na Biashara.

Kila kona na kila mtaa alama za Uongozi wake bora zinaonekana,kila akanyagapo katika kampeni hizi anapokewa na mafuriko ya watu wanaokuja kulipa fadhila kwa Maendeleo makubwa waliyoyashuhudia tangu uhuru.
Kijijini kwetu tunatamba na maji ya ziwa Victoria katutoa kwenye jinamizi la kutumia maji ya chumvi ya kisima.Watu wa Tabora wanasubiri kwa hamu kuja kulipa fadhila kwa kupiga kura nyingi kwa Mama Samia wanasema Oktoba ni kutiki tu kwa Mh.Rais Samia ✅

Mitaa imejaa furaha na Shangwe vijana wameajiriwa na wapo kuwatumikia waTanzania.

Mimi na wanaTabora Wenzangu tupo kumsemea Mama yote katufanyia makubwa na Oktoba Tunatiki kwake✅✅✅✅🇹🇿

1758620608179.png
 
Usisahau utekaji, uuaji, ufisadi, etc ambayo anayafanya.
 
Aeleze na jinsi anavyotumia vyombo vya dola kukandamiza upinzani, kuminya uhuru wa Wakristo kuabudu, kuteka wapinzani na wakosoaji wake, kuwatesa wapinzani na kuwapoteza kwenye mazingira yasiyorleweka.

Poa mwambieni asipomtoa Tundu Lissu ndani, basi naye ni WA mwanandani
 
Msimu wa kampeni ndio huu umezinduliwa,Jukwaa kwa Mh.Rais Samia Suluhu analimudu vyema kwani kashafanga makubwa na wananchi tumejionea.

Kila anachosema kinaendana na tunachokiona katika Mikoa,Wilaya,Kata na Vijiji vyetu yaani kila pahala kaweka alama kwa kujenga na kuboresha miundo mbinu ya Elimu,Afya,Barabara,Maji,Michezo,Kilimo na Biashara.

Kila kona na kila mtaa alama za Uongozi wake bora zinaonekana,kila akanyagapo katika kampeni hizi anapokewa na mafuriko ya watu wanaokuja kulipa fadhila kwa Maendeleo makubwa waliyoyashuhudia tangu uhuru.
Kijijini kwetu tunatamba na maji ya ziwa Victoria katutoa kwenye jinamizi la kutumia maji ya chumvi ya kisima.Watu wa Tabora wanasubiri kwa hamu kuja kulipa fadhila kwa kupiga kura nyingi kwa Mama Samia wanasema Oktoba ni kutiki tu kwa Mh.Rais Samia ✅

Mitaa imejaa furaha na Shangwe vijana wameajiriwa na wapo kuwatumikia waTanzania.

Mimi na wanaTabora Wenzangu tupo kumsemea Mama yote katufanyia makubwa na Oktoba Tunatiki kwake✅✅✅✅🇹🇿

Wacha longolongo:

Polepole kwa ushahidi huu, CCM acheni kutuambia mtafanya nini eti ndani ya siku 100. Jibuni hoja zake, haziepukiki, hizo ndizo za wananchi!

Kama mmetumwa kumsemea mrejesheeni ujumbe!
 
Mama Samia chutuma!
Nimeota ndoto sio nzuri juu yako
Chutama achia uchu wa madaraka fanya mchakato apatikane mgombea halali!Usilazimishe utapelekea nchi kwenye machafuko na sintofaham!

To say the truth,wananchi hawakuelewi kabisa na nina manisha kabisa hao wanaokutetea humu au huko kwengine wanakung'onga vibaya mnoo na wengine ni wanufaika!

Yani hata wale wendawizimu wa mtaani hawakuelewi ni ishara mbaya ukiangalia katika jicho la kiroho ni mbaya sana.

Jitunzie heshima ndogo ulobaki nayo and step down.CCM naamini bado ina candidates wazuri tu wa kuvusha nchi hadi 2030 and definately not you!

Ni ushauri tu!Usiforce haya mambo yana madhara makubwa sana!
 
Msimu wa kampeni ndio huu umezinduliwa,Jukwaa kwa Mh.Rais Samia Suluhu analimudu vyema kwani kashafanga makubwa na wananchi tumejionea.

Kila anachosema kinaendana na tunachokiona katika Mikoa,Wilaya,Kata na Vijiji vyetu yaani kila pahala kaweka alama kwa kujenga na kuboresha miundo mbinu ya Elimu,Afya,Barabara,Maji,Michezo,Kilimo na Biashara.

Kila kona na kila mtaa alama za Uongozi wake bora zinaonekana,kila akanyagapo katika kampeni hizi anapokewa na mafuriko ya watu wanaokuja kulipa fadhila kwa Maendeleo makubwa waliyoyashuhudia tangu uhuru.
Kijijini kwetu tunatamba na maji ya ziwa Victoria katutoa kwenye jinamizi la kutumia maji ya chumvi ya kisima.Watu wa Tabora wanasubiri kwa hamu kuja kulipa fadhila kwa kupiga kura nyingi kwa Mama Samia wanasema Oktoba ni kutiki tu kwa Mh.Rais Samia ✅

Mitaa imejaa furaha na Shangwe vijana wameajiriwa na wapo kuwatumikia waTanzania.

Mimi na wanaTabora Wenzangu tupo kumsemea Mama yote katufanyia makubwa na Oktoba Tunatiki kwake✅✅✅✅🇹🇿
TRA makusanyo kabla yake yalikuwa trilioni 17 tu leo tupo trilioni 31 je tukimpa mi5 tena tutafikia mbali mbali zaid

Rais Samia kakomesha michongo Bandalini jambo lilishindwa na viongozi wengi!!
ndiomana sasa makusanyo yameongezeka kias kushangaza wachumi wengi !!

SGR Wakandarasi Tabora -kigoma wapo kwenye ujenzi njia yoteee haaaaaa SAMIA RAAAAAA SANAAAA October 28 tunatiki asubui kura za kishindo ✅️
 
Aeleze pia ufisadi wa katibu wake binafsi mwanaye Abdul, Mzoga wa Msoga na Rostam Azizi kwenye migodi na kampeni yake kuiinua Taifa gas na kubwa zaidi ushirikiano wake na jizi la Karne Angela Kizigha
 
Kwasababu mwenyewe umedai umeota nakushauri endelea kulala unaweza kuota ndoto yangu mbele Samia Baraka na ni dhawadi yetu kutoka kwa Mungu mkuu!!

kufanya Rais wa kwanza wakike kuchaguliwa na watz jambo la kupendeza sana ni historia kwa Kanda yote ya Africa Mashariki October tunatiki asubui ✅️
 
Nani alimuua MZEE ALLY KIBAO ?
 
Kijijini kwetu tunatamba na maji ya ziwa Victoria katutoa kwenye jinamizi la kutumia maji ya chumvi ya kisima.Watu wa Tabora wanasubiri kwa hamu kuja kulipa fadhila kwa kupiga kura nyingi kwa Mama Samia wanasema Oktoba ni kutiki tu kwa Mh.Rais Samia [emoji736]

Mitaa imejaa furaha na Shangwe vijana wameajiriwa na wapo kuwatumikia waTanzania.

Mimi na wanaTabora Wenzangu tupo kumsemea Mama yote katufanyia makubwa na Oktoba Tunatiki kwake[emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji1241]
Wala huna haja ya kutuambia acha tuone wenyewe....

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
 
TRA makusanyo kabla yake yalikuwa trilioni 17 tu leo tupo trilioni 31 je tukimpa mi5 tena tutafikia mbali mbali zaid

Rais Samia kakomesha michongo Bandalini jambo lilishindwa na viongozi wengi!!
ndiomana sasa makusanyo yameongezeka kias kushangaza wachumi wengi !!

SGR Wakandarasi Tabora -kigoma wapo kwenye ujenzi njia yoteee haaaaaa SAMIA RAAAAAA SANAAAA October 28 tunatiki asubui kura za kishindo ✅️
Nonsense
 
Aeleze pia ufisadi wa katibu wake binafsi mwanaye Abdul, Mzoga wa Msoga na Rostam Azizi kwenye migodi na kampeni yake kuiinua Taifa gas na kubwa zaidi ushirikiano wake na jizi la Karne Angela Kizigha
Punguza chuki kidogo pengine utaeleweka unaweza kuweka Ushahidi wa izo tuhuma zako au Ushahidi wako ni kujua ayo majina tu. Mazuri ya kiongoz wetu uyaoni ndani ya miaka yake hii 4+ TRA VETA Afya Elimu kilimo Ujenzi barabara Madaraja Utalii SGR kuajiri kupandisha mishahara +madaraja !!!

haaaaa sisi wazolendo tunaenda tiki asubui asubui ✅️

tunajua kuna wahuni wanania mbaya na maendeleo yatz wanajiona wao ndio Serikali mwakauuu kivumbi na jasho watakomaaa upumbavu wao!!

SAMIA KANYAJA TWENDE MAAMAAA UNAJESH KUBWA NYUMA YAKO. Lingaaa mama sana tu unapendwa na Wazalendo wa kweli mashujaa wenye nguvu !!!

Ushatukamata wazalendo TRA umekuta trilioni 17 kusanyo !!!

chini yako miaka 4 tu tupo kwenye trilioni 31 imagine

pesa zote izi zilikuwa zinaenda wapi kama sio kwa majizi wakubwa leo ndio wanakupinga kwa visingizio vya kijinga jinga kipumbavu!!

Lengo lao maslahi yao kwanza sio Taifa kwanza
Watashindwa kwa jina la Yesu na Allah kwa pamoja

October watu tunatiki kwa jeuri kubwaaa.Mbwaaa yoyote akaee mbelee kuzuiya🔴🔴🔴🔴🔴 Police tunawaomba kaaeni mbaliii !!! Sisi tutawasaidia
mtuache na vibaraka wetu tuongee nao wenyewe kirafiki..tuwape chai ya mchaichai chap🤯🤯🤯
 
Kivipi nonsense weka hoja kijana ujibiwe au ndio mkumbo anaharibu nchi kipropaganda sisi tunawawekea kwanini SAMIA apewe m5 mengine!!!

naww weka kwanini tusimpe iwe kweli sio akili za kuazima unadanganywa kitoto. Na wezi wa pato la Taifa ,,
 
Walipiga kelele nyingi sana eti bandari imeuzwa kwa waarabu wa DP World..kumbe ujinga na umbumbumbu tuh,samia ni kigezo cha ujasiri uthubutu na uongozi wenye matokeo.
 
Kwasababu mwenyewe umedai umeota nakushauri endelea kulala unaweza kuota ndoto yangu mbele Samia Baraka na ni dhawadi yetu kutoka kwa Mungu mkuu!!

kufanya Rais wa kwanza wakike kuchaguliwa na watz jambo la kupendeza sana ni historia kwa Kanda yote ya Africa Mashariki October tunatiki asubui ✅️
Dhawadi ndio nini boya wewe
 
Msimu wa kampeni ndio huu umezinduliwa,Jukwaa kwa Mh.Rais Samia Suluhu analimudu vyema kwani kashafanga makubwa na wananchi tumejionea.

Kila anachosema kinaendana na tunachokiona katika Mikoa,Wilaya,Kata na Vijiji vyetu yaani kila pahala kaweka alama kwa kujenga na kuboresha miundo mbinu ya Elimu,Afya,Barabara,Maji,Michezo,Kilimo na Biashara.

Kila kona na kila mtaa alama za Uongozi wake bora zinaonekana,kila akanyagapo katika kampeni hizi anapokewa na mafuriko ya watu wanaokuja kulipa fadhila kwa Maendeleo makubwa waliyoyashuhudia tangu uhuru.
Kijijini kwetu tunatamba na maji ya ziwa Victoria katutoa kwenye jinamizi la kutumia maji ya chumvi ya kisima.Watu wa Tabora wanasubiri kwa hamu kuja kulipa fadhila kwa kupiga kura nyingi kwa Mama Samia wanasema Oktoba ni kutiki tu kwa Mh.Rais Samia ✅

Mitaa imejaa furaha na Shangwe vijana wameajiriwa na wapo kuwatumikia waTanzania.

Mimi na wanaTabora Wenzangu tupo kumsemea Mama yote katufanyia makubwa na Oktoba Tunatiki kwake✅✅✅✅🇹🇿
Kununua matrekta milioni 10 sio.
 
Walipiga kelele nyingi sana eti bandari imeuzwa kwa waarabu wa DP World..kumbe ujinga na umbumbumbu tuh,samia ni kigezo cha ujasiri uthubutu na uongozi wenye matokeo.
Wameaibika sana tena vibaya sana majizi yanataka kudanganya watu kumpinga kiongoz mwenye kuitetea nchi yake mzalendo wa kweli !!!

hakuogopa kwenda Nairobi kumuona Lisu ¿¿¿

mijinga inatishia nyau Usalama wa Rais Samia !!

Hakuogopa uko nyuma aje kuviogopa vijizi ivi na wkt wowote anaweza kuvisweka ndani eshima zao ni Mahakamani ndio itatwambia mijambazi au wanaonewa, lkn propaganda itakwama kama sasa!!!
 
Back
Top Bottom