Rais Samia kakopa trillion 1 kujenga airport, Hospitali, VETA na Depo ya mafuta Zanzibar

Wazanzibar wabinafsi
 
CHATO Chali!
ZNZ Stand up!

SUGU "Sio Ndege tu, hata Barangulu hatui Chato Airport ".
 
Bila kuiondoa ccm haya malalamiko yatageuka wimbo wa taifa.

Dawa ni kuwaondoa na chama chao tu wameshindwa.
"Huwezi kuwondoa maana wanaoifanya ccm wabakie madarakani ni genge la kina kingai + tume ya uchaguzi"
 
Yapo mambo ya muungano na yasiyo ya muungano, haiwezekani zanzibar iwe na ruhusa ya kukopa separately then bado wapate share kwenye mikopo ya Tanganyika

kwanini isiwezekane wakati Zanzibar na yeye ni mshira kwenye SMT?
 
Rekebisha hapo.
Mbunge analipwa kwa pesa ya Tanzania sio Bara.
Bara haina mapato ya kuweza kuendesha hata wizara moja.
 
Watanganyika mmezoea kutawaliwa, ngoja mama apeleke pesa kwao
 
Jamani hangaya mbona ataimaliza Tanganyika, hivi unaweza kufanya mgao wa bil. 400 na bil. 700 kwa ukubwa wa eneo la Tanganyika na Zanzibar, ukichukulia eneo zima la zanzibar ni wilaya moja tu huku Tanganyika. Jamani mbona tunaingizwa kwenye madeni makubwa kwa kuinufaisha zanzibar?
 
Kataeni sasa mbona unalia Lia kama kichanga? 😄😄😄.

Kwa taarifa yako mimi sio Mzanzibar ila huwa sipendi ujinga wenu.
Hamna mtu analia, uwe Mzenji au M'bara it doesn't matter. Hii ni mara pili nakwambia tatizo lako ni upeo mdogo, uzuri mimi ni mvumilivu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…