Rais Samia kakopa trillion 1 kujenga airport, Hospitali, VETA na Depo ya mafuta Zanzibar

Yaan cna cha kupoteza and am totally getting blissfully all day. But kaeni kwa kutulia that era was ended and will never return.
No one wants nothing from whatsoever era, hatuwezi kuona Tanganyika inafanyiwa uhuni hadharani tukakaa kimya
 
Next election Pemba inakuwa CCM zone kwa mahesabu ya Mama. Kwa miaka mingi hakuna maendeleo yalipelekwa Pemba
 
Wapeleke maendeleo kwa resources za zanzibar, sio mlalahoi wa nachingwea ambae hajawahi kuona ndege anakamuliwa kodi ya kwenda kujenga airport kwenye nchi ya kigeni.
 
No one wants nothing from whatsoever era, hatuwezi kuona Tanganyika inafanyiwa uhuni hadharani tukakaa kimya
Ule uhuni wa utekaji, utesaji, uuaji viroba Coco beotch, uporaji pesa kweny account za watu, uvamiz na wizi kweny maduka, ilikua sawa??
 
Mzee huwa sideal na theories, and thats has nothing to do with my agenda Tanganyika, count me out
 
Duuh!
Jamani, huko ndani ya siri-kali hakuna watetezi wa TANGANYIKA?!!!
 
Mzee huwa sideal na theories, and thats has nothing to do with my agenda Tanganyika, count me out
Wee nae usijifarague hapa, theory gan? Viroba mpaka magazetini, utekaji, utesaji ulikua open kwa wahusika. Uporaji na wizi reference.. sabaya!!
 
Sasa suala la Tanganyika na Zanzibar linahusu nini yote hayo? Open new thread and Grow up
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…