Rais Samia, kana una nia ya dhati dhidi ya uovu, wengine hawa hapa wanaoshutumiwa kwa uhuni, ufisadi na dhulma

Swadakta! Wazo zuri wapo wengi walioharihu taswira ya uongozi. Labda anataka kuwaondoa mmoja mmoja kwa wakati tofauti
 
1622719679423.png
 
Rais Samia ache kufukua makaburi ya viongozi waliopita.
 
Mtu Asiyejulikana hata wewe unadhamiri chafu, Kama unazo tuhuma za Makonda na unao ushahidi weka wazi na kaa ukikumbuka Serikali inayo macho makubwa ya kuona.
Unaongelea sirikale ipi
 
Samia mwenyewe ni mhuni.Anabambikizia watu kesi fake,anakanyaga kanyaga katiba,anapora chaguzi,ananyima watu haki zao za kujieleza,ananyima watu haki zao za kidemokrasia na kadhalika kwa hiyo hana moral authority ya kushughulikia wahuni.Umeelewa mleta mada?
7654311.png
 
INAMPASA MMOJA AFE KWA AJILI YA WENGI? HAPANA WAFE WOTE WENYE DHAMBI. (JE, OLE SABAYA AMETOLEWA SADAKA?)

Tunashukuru kwa hatua uliyoichukua dhidi ya Sa baya. Huyu alikuwa na makando kando mengi nyakati za utawala wa Hayati John Pombe Magufuli(Dhulma, Matumizi mabaya ya Uongozi, Ufisadi n.k)

Lakini hakuwa peke yake. na wengine hawa hapa tunaomba wafanyiwe uchunguzi huru na wa haki. Either washtakiwe au wasafishwe. Mimi naanza na huyu wa kwanza.

1. Christian Makonda
Tuhuma zake ni pamoja na Kuchukua Rushwa, Kutumia mamlaka Vibaya, Kuhusishwa na Utekaji na Mauaji. Tunaomba ufanyike uchunguzi huru ili asafishwe kijana wa watu au ahukumiwe maana isije tu kuwa Chadema walikuwa wanamchukia na kuamua kumpakazia mambo hayo sababu ya utendaji kazi wake akiwa Mkuu wa Mkoa na baada ya kutokuwa Mkuu wa Mkoa wameridhika mpaka siku tena akija pata Cheo au Uongozi ndo waanze kulalamika. Tunaomba jambo hili ulifanyie kazi.

Wito wangu
Naomba watanzania wenzangu either tutaje watuhumiwa wengine au tutaje wanaotakiwa kusafishwa kutokana na yale ambayo walitendwa na kunenwa. Mimi nimeanza na huyo wewe Mtanzania mwenzangu unaweza ongezea wengine.
Rogue element zake bado zipo na ziko active zinafanya kazi kweli
 
Kamanda Sirro yuko blacklisted na CIA, uhalifu wake sio wa kutafuta. Wengine ni:

Mambosasa...wamemficha Dodoma,

Mwigulu Nchemba,

Baadhi ya wakuu wa wilaya na mikoa.
 
INAMPASA MMOJA AFE KWA AJILI YA WENGI? HAPANA WAFE WOTE WENYE DHAMBI. (JE, OLE SABAYA AMETOLEWA SADAKA?)

Tunashukuru kwa hatua uliyoichukua dhidi ya Sa baya. Huyu alikuwa na makando kando mengi nyakati za utawala wa Hayati John Pombe Magufuli(Dhulma, Matumizi mabaya ya Uongozi, Ufisadi n.k)

Lakini hakuwa peke yake. na wengine hawa hapa tunaomba wafanyiwe uchunguzi huru na wa haki. Either washtakiwe au wasafishwe. Mimi naanza na huyu wa kwanza.

1. Christian Makonda
Tuhuma zake ni pamoja na Kuchukua Rushwa, Kutumia mamlaka Vibaya, Kuhusishwa na Utekaji na Mauaji. Tunaomba ufanyike uchunguzi huru ili asafishwe kijana wa watu au ahukumiwe maana isije tu kuwa Chadema walikuwa wanamchukia na kuamua kumpakazia mambo hayo sababu ya utendaji kazi wake akiwa Mkuu wa Mkoa na baada ya kutokuwa Mkuu wa Mkoa wameridhika mpaka siku tena akija pata Cheo au Uongozi ndo waanze kulalamika. Tunaomba jambo hili ulifanyie kazi.

Wito wangu
Naomba watanzania wenzangu either tutaje watuhumiwa wengine au tutaje wanaotakiwa kusafishwa kutokana na yale ambayo walitendwa na kunenwa. Mimi nimeanza na huyo wewe Mtanzania mwenzangu unaweza ongezea wengine.
Tabia za Samia na Sabaya ni sawa tu,yote Majambaz yanajuana
 
Back
Top Bottom