Rais Samia kapata wapi ujasiri wa kusafiri ilhali kuna majanga nchini?

Kuna Comments zingine Zina stahili Reaction ya DOLE la Katikati.

Kama Hii yako.
 
Sasa wewe kwanini usiende kusaidia kuwaokoa?

Unategemea mama Samia ndiyo akawaokoe?
Kwa ulivyo comment haistahili kumwita Mama Samia.

Ita SAMIA...Hakuna Mama anakua na Akili za hivo na kama na wewe ni Mama na una Akili za Hivo,,ni Bora ungekunywa P2 ukatoa Mimba za watoto wako ulio nao.
 
Rais ni taasisi hivyo sidhani kama yeye angekuwepo Nchini angesaidia lolote zaidi ya ilivyo sasa.
Lakini haipingiki kwamba anasafiri sana hata kwa vitu vidogo vidogo.
Nadhani ni hobby ya watu wa pwani,ref mzee JK naye ilikuwa hivi hivi
Kama ni taasis kwa nini hukoalikoenda yeye wasingeenda wengine yeye kama mfariji mkuu akabaki anaangalia kwake.
 
Nyumba yeyote kiongozi huwa ni mwanaume, akishakua mwanamke basi hio nyumba itakua na shida tu.
 
Kwa ulivyo comment haistahili kumwita Mama Samia.

Ita SAMIA...Hakuna Mama anakua na Akili za hivo na kama na wewe ni Mama na una Akili za Hivo,,ni Bora ungekunywa P2 ukatoa Mimba za watoto wako ulio nao.
Mwite upendavyo. Kondoo tunawafahamu.
 
Nyumba yeyote kiongozi huwa ni mwanaume, akishakua mwanamke basi hio nyumba itakua na shida tu.
Mwenye byumba mwanamke, mwanamme kazi yake ni ulinzi tu, siyo uongozi.

Miaka zaidi ya 60 Tanzania tumekuwa na viongozi wa kiume, wamefanya nini cha maana na kujivunia?
 
Abdul kama angekuwa amefukiwa sidhani kama angesafiri
Abdul mwenyewe yupo Brazil tayari anakula mchongo wa kuleta Yale mabasi marefu Sana kwa ajili ya mwendokasi ili amkabidhi yule mwekezaji mwarabu wa Dubai avune pesa!
 
Anawajibika vipi kwako hukuchangia kumuweka madarakani?Kura hupigi wala hujiandikishi.

Sasa umepechaguliwa asiewajibika unalia lia.
 
Mwenye byumba mwanamke, mwanamme kazi yake ni ulinzi tu, siyo uongozi.

Miaka zaidi ya 60 Tanzania tumekuwa na viongozi wa kiume, wamefanya nini cha maana na kujivunia?
Sisi waislamu haturuhusu kiongozi wa juu kabisa kuwa mwanamke.

Sijui wewe dini yako.
 
Cha muhimu mama anaupiga mwingi... regardless.
 
Cha muhimu mama anaupiga mwingi... regardless.
vyovyote itakavyokua gentleman,

Ile muhimu zaidi,
Ni kumuomba Mwenyezi Mungu afanye wepesi na kuwanusuru waTanzania wenzetu, wanayopitia wakati mgumu mno chini ya kifusi, baada ya jengo la ghorofa kariakoo kuporomoka πŸ’
 
Vinatumika vifaa duni kufanya kazi ya uokoaji
Wanatumia jembe na jepe kama Masai anamwokoa ndama alinasa kwenye shimo la nungunungu
 
vyovyote itakavyokua gentleman,

Ile muhimu zaidi,
Ni kumuomba Mwenyezi Mungu afanye wepesi na kuwanusuru waTanzania wenzetu, wanayopitia wakati mgumu mno chini ya kifusi, baada ya jengo la ghorofa kariakoo kuporomoka πŸ’
Na pia kuwaombea wanaosafiri nje ya nchi kwa manufaa ya taifa wasafiri salama...

Tutawawakilisha msibani kama walivyotuwakilisha kwenye msiba wa Lawrence Mafuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…