Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
watu wengine bana dah,anataka aione serikali yote kko yaan shughuli nyingine zote zisimame
tuwaache tu

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
watu wengine bana dah,anataka aione serikali yote kko yaan shughuli nyingine zote zisimame

Sikuelewi lugha yako.Ninajua tu wale "Panya" wanaowindwa hawategwi!!
nadhani marekani limetokea tukio kama hilo,Umejibu vizuri ila ni kweli kabisa huyu mama yetu huwa hana roho ya kujali kabisa na huwa hana muitikio mzuri kwenye majanga ya watanganyika hilo linafahamika.
Na sidhani kama kasogea hata eneo la tukio.

Nakutakia asubuhi njema, Mkuu. Tuendelee kuwatakia heri na nafuu wahanga wa janga la Kariakoo na kama Kuna namna ya kusaidia tufanye hivyo haraka sana.Sikuelewi lugha yako.
Upo kwenye tukio?Nakutakia asubuhi njema, Mkuu. Tuendelee kuwatakia heri na nafuu wahanga wa janga la Kariakoo na kama Kuna namna ya kusaidia tufanye hivyo haraka sana.
zipi hizo tena sheikh?Hivi hizi tetesi ni kweli!?
Mkuu Tlaatlaah kuna wakati wa kusema na wakati wa kunyamaza. Tuwaombee wahanga, waathirika, majeruhi, marehemu na familia zilizokumbwa na mkasa huu.Gentleman,
kua mkweli,
machozi yanakutitirika kwasababu ya madeni ya kausha damu unayopitia au ugumu wa maisha unaopitia, huenda kwasababu za uvivu wako?
Hata hivyo mbona ni dhahiri shahiri uchungu wako, wala sio hata kwaajili ya wahanga wa jengo lililoporomoka huko kariokoo ?
Mihemko yako ni dhidi ya jitihada za Rais Dr Samia Suluhu Hassan katika kuhakikisha kwamba, licha ya changamoto, dosari na kasoro mbalimbali za kiasili na kibinadamu, bado hachoki wala kukata tamaa kuhakikisha anatumia fursa zote zinazoonekana Kitaifa na kimataifa kwa maslahi mapana ya wananchi na waTanzania wote?
Kamati ya maafa Kitaifa, iliyo chini ya waziri mkuu Kasimu Majaliwa, na makamu wa pili wa Rais Zanzibar Hemed Suleiman Abdullah, ipo kazini tangu kutokea kwa tukio hilo, unahitaji nani afanye nini tena gentleman?
Rais afanye nini zaidi ya hapo gentleman? Hakuna haja ya makasiriko na kuibua hisia potofu zenye chuki dhidi ya mkuu wa nchi.🐒
Mungu Ibariki Tanzania
TAMISEMI ipo na itaendelea kuwepo2025 akaombe kura hukohuko Brazil
Pamoja na hilo ambalo Rais wetu Dr. Samia Suluhu Hassan ametuongozaMkuu Tlaatlaah kuna wakati wa kusema na wakati wa kunyamaza. Tuwaombee wahanga, waathirika, majeruhi, marehemu na familia zilizokumbwa na mkasa huu.
Ajali ni ajali tuNinaandika post hii ni saa 9 kasoro usiku machozi yananitiririka nashindwa kulala nipo nimeshika biblia na Quran hapa nashindwa hata la kufanya
Roho inaniuma maana kuna ndugu zetu wapo chini ya vifusi hadi muda huu na wanapigiwa simu zinaita wanalia tu na kutuma voice za huzuni za kuomba msaada[emoji24][emoji24].
Kuna binti yupo chini ya kifusi huko na ni mjamzito hapa nashindwa hata niandike nini
Rais anapata wapi nguvu ya kusafiri?Hiyo nguvu ya kupanda ndege hadi Brazil kaitoa wapi? Its shame and disgusting!! Yaani nyumbani watoto wako wapo chini ya kifusi halafu wewe kama mzazi unaenda kwenye sherehe ya jirani serious??
Sisemi kwa ubaya lakini Rais wetu kwa hili kakosea sana!!kaonesha ni jinsi gani asivyojali hili taifa!! Kaonesha ni jinsi gani asivyo na huruma na raia wake?
Huo mkutano una umuhimu kuliko roho za mamia ya watu walio chini ya kifusi?Rais amepata wapi huu moyo?nawaza nakosa jibu kabisa[emoji24]
Roho inaniuma mnoo!! Kwa hili rais Samia umekosea pakubwa mnoo!! its shame ni aibu mnoo na dharau kubwa kwa taifa hili.
PIA SOMA
- PICHA: Rais Dkt. Samia aelekea Brazil kushiriki mkutano wa G20
Afanye nini?Gentleman,
kua mkweli,
machozi yanakutitirika kwasababu ya madeni ya kausha damu unayopitia au ugumu wa maisha unaopitia, huenda kwasababu za uvivu wako?
Hata hivyo mbona ni dhahiri shahiri uchungu wako, wala sio hata kwaajili ya wahanga wa jengo lililoporomoka huko kariokoo ?
Mihemko yako ni dhidi ya jitihada za Rais Dr Samia Suluhu Hassan katika kuhakikisha kwamba, licha ya changamoto, dosari na kasoro mbalimbali za kiasili na kibinadamu, bado hachoki wala kukata tamaa kuhakikisha anatumia fursa zote zinazoonekana Kitaifa na kimataifa kwa maslahi mapana ya wananchi na waTanzania wote?
Kamati ya maafa Kitaifa, iliyo chini ya waziri mkuu Kasimu Majaliwa, na makamu wa pili wa Rais Zanzibar Hemed Suleiman Abdullah, ipo kazini tangu kutokea kwa tukio hilo, unahitaji nani afanye nini tena gentleman?
Rais afanye nini zaidi ya hapo gentleman? Hakuna haja ya makasiriko na kuibua hisia potofu zenye chuki dhidi ya mkuu wa nchi.🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Kuna mtu amesema awepo eneo la tukio? 😀Tuache utani basi... Kwahyo kila janga ni lazima rais ahudhurie? Kulikuwa na haja gani ya kuwa na watumishi wengine?
~Petroli ilipowalipukia watu pale moro mbona rais hakwenda!
~Na wale watoto wa shule ya lucky vicent ulimuona rais?
~Vp kule ziwani kwenye ndege iliyompa umaarufu dogo majaliwa?
~Na pale ukerewe je?
Why kariakoo ndo ionekane so spesho mpaka rais awepo eneo la tukio? Aliowatuma hawatoshei au?
Magu asingesafiri ninauhakika 200000% yule baba kwanza hakua na tatiba za misele ya nje kwahio hio ratiba isingekuwepo pia
Huna akili ww subiri KIPYENGA Cha uchaguzi kipulizwe ndo utajua hujui.2025 akaombe kura hukohuko Brazil
Ndo unachotaka ww, Yani Raha yako uone mtu anafukuzwa kazi unaroho ya kishetani Sana mkuu,Nilikuwa simpendi Jiwe ila kwenye tukio kama hili lazima watu wangewajibishwa tena mbele ya cameras.