Rais Samia kapata wapi ujasiri wa kusafiri ilhali kuna majanga nchini?

Umejibu vizuri ila ni kweli kabisa huyu mama yetu huwa hana roho ya kujali kabisa na huwa hana muitikio mzuri kwenye majanga ya watanganyika hilo linafahamika.
Na sidhani kama kasogea hata eneo la tukio.
nadhani marekani limetokea tukio kama hilo,

Rais Joe au Trump akafanye nini eneo la tukio na uokoaji unaendelea?
 
Mkuu Tlaatlaah kuna wakati wa kusema na wakati wa kunyamaza. Tuwaombee wahanga, waathirika, majeruhi, marehemu na familia zilizokumbwa na mkasa huu.
 
Rais ni taasisi hivyo sidhani kama yeye angekuwepo Nchini angesaidia lolote zaidi ya ilivyo sasa.
Lakini haipingiki kwamba anasafiri sana hata kwa vitu vidogo vidogo.
Nadhani ni hobby ya watu wa pwani,ref mzee JK naye ilikuwa hivi hivi
 
Mkuu Tlaatlaah kuna wakati wa kusema na wakati wa kunyamaza. Tuwaombee wahanga, waathirika, majeruhi, marehemu na familia zilizokumbwa na mkasa huu.
Pamoja na hilo ambalo Rais wetu Dr. Samia Suluhu Hassan ametuongoza
akiwa mtu wa mwanzo zaidi kutoa pole na kuomba Neema na Baraka za Mungu kwa wahanga waliostack kwenye vifusi eneo la ajali,

Bado jitihada zingine za makusudi zikiongozwa na mwenyekiti wa kamati ya maafa Taifa, waziri Mkuu Kasimu Majaliwa, kwa kufuata na kuzingatia maelekezo ya Rais,

Vyombo vya ulinzi na usalama viko site na kazi ya uokozi inaendelea kwa umakini mkubwa.

Mwenyezi Mungu afanye wepesi πŸ’
 
Ajali ni ajali tu
 
Tuache utani basi... Kwahyo kila janga ni lazima rais ahudhurie? Kulikuwa na haja gani ya kuwa na watumishi wengine?

~Petroli ilipowalipukia watu pale moro mbona rais hakwenda!
~Na wale watoto wa shule ya lucky vicent ulimuona rais?
~Vp kule ziwani kwenye ndege iliyompa umaarufu dogo majaliwa?
~Na pale ukerewe je?

Why kariakoo ndo ionekane so spesho mpaka rais awepo eneo la tukio? Aliowatuma hawatoshei au?
 
Afanye nini?
Kweli kabisa!
Wacha tuendelee kula nyama maana mtori wanasema upo chini
 
Kuna mtu amesema awepo eneo la tukio? πŸ˜€
 
Kwahyo Mbowe yupo ndani ya kifusi anaokoa watu syo,
hebu acheni kujitoa ufaham, kwani duniani si kina Vita vinaendelea umeskia Kuna udhuru wwte kisa Vita?
After all; jengo limeporoka Mh. Rais akiwa ameshaondoka lakini je Kuna kitu kimesmama? Mnaendekeza siasa za kipumbavu sana
 
Nilikuwa simpendi Jiwe ila kwenye tukio kama hili lazima watu wangewajibishwa tena mbele ya cameras.
Ndo unachotaka ww, Yani Raha yako uone mtu anafukuzwa kazi unaroho ya kishetani Sana mkuu,
Punguza wivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…