Rais Samia kapata wapi ujasiri wa kusafiri ilhali kuna majanga nchini?

Ninaandika post hii ni saa 9 kasoro usiku machozi yananitiririka nashindwa kulala nipo nimeshika biblia na Quran hapa nashindwa hata la kufanya

Roho inaniuma maana kuna ndugu zetu wapo chini ya vifusi hadi muda huu na wanapigiwa simu zinaita wanalia tu na kutuma voice za huzuni za kuomba msaada[emoji24][emoji24].

Kuna binti yupo chini ya kifusi huko na ni mjamzito hapa nashindwa hata niandike nini

Rais anapata wapi nguvu ya kusafiri?Hiyo nguvu ya kupanda ndege hadi Brazil kaitoa wapi? Its shame and disgusting!! Yaani nyumbani watoto wako wapo chini ya kifusi halafu wewe kama mzazi unaenda kwenye sherehe ya jirani serious??

Sisemi kwa ubaya lakini Rais wetu kwa hili kakosea sana!!kaonesha ni jinsi gani asivyojali hili taifa!! Kaonesha ni jinsi gani asivyo na huruma na raia wake?

Huo mkutano una umuhimu kuliko roho za mamia ya watu walio chini ya kifusi?Rais amepata wapi huu moyo?nawaza nakosa jibu kabisa[emoji24]

Roho inaniuma mnoo!! Kwa hili rais Samia umekosea pakubwa mnoo!! its shame ni aibu mnoo na dharau kubwa kwa taifa hili.

PIA SOMA
- PICHA: Rais Dkt. Samia aelekea Brazil kushiriki mkutano wa G20
Utaambiwa kuna wawakilishi wake.

Nyie mlimchagua samia sio kwa sababu ana uwezo ila mlitaka muweke historia kuwa Tanzania ina makamo wa rais mwanamke (ambaye badae ndio akawa rais).

Wenzenu wanaangalia uwezo sio jinsio na historia za kipuuzi otherwise ungakuta leo kamala au hilary clinton ni rais wa Marekani.
 
Hiyo serikali makini ambayo maisha ya mtu mmja Yana thamani I kushinda Mamilioni ni ya Nchi gani?

Kwani yetu sio makini?
Wewe unasema watu walionasema kwenye kifusi sio kitu
Hivi wewe unajielewa kweli?
 
Magu asingesafiri ninauhakika 200000% yule baba kwanza hakua na ratiba za misele ya nje kwahio hio ratiba isingekuwepo pia
Magu angekua mzima na yeye wenda angekua kama samia au jk. Achana na kitu kinaitwa posho aisee.
 
Hata mwenyewe Rais akisoma huu uzi wako atashangaa Sana kama kuna chawa wake anaweza kuandika hivi

Mambo mengine ni Bora kukaa kimya Tu

Kujifanya unatetea kwenye mambo kama haya ni ulimbukeni
kaa kimya wewe mwenye mihemko na ghadhab za kinyumbu gentleman 🤣
 
Wapi nimesema sio muhimu? Nimekwambia hawawezi simamieha ratiba za Nchi ,Kuna watu Mamilioni wanahitaji Serikali sawa na hao walionasa.

Mwisho siku nyingine muwe mnajenga vitu vinavyoeleweka,watu kama nyie mkibanwa mnaanza kulaumu Serikali wakati hamtaki Kufuata standards 👇👇

View: https://x.com/Mapungo2020/status/1858045487040917604?t=F1JJoOo044Qn5oP5T3xT3Q&s=19

Nimekwambia Rais Samia ni wetu sote
Mbona unajipa kiherehere cha kujipa hati miliki ya Rais wetu
Sisi tunamkosoa sio kwamba wewe ndo unampenda Rais kuzidi sisi
Acha ujinga dogo
 
Obama akiwa Rais wa USA akiwa kwenye tukio kama la kariakoo
wakati huo tayari mambo ya uokozi yameshakamilika, usalama umekua wa uhakika na hata raia wakiwa wanarejea kwenye makazi yao ndipo Obama nae akaenda kushuhudia kilichotokea..

ama ulitamani kuwafunga watu kamba kwa kusemaje gentleman 🐒
 
Umeulizwa huko juu,
Toa faida tano za huo mkutano wa Brazil
Unakimbia kimbia tu
Ni muhimu sana kutekeleza maagizo na amri aliyoitoa Rais Dr. Samia Suluhu Hassan kwa kamati ya maafa kwa kushirikiana na vyombo vyote vya ulinzi na usalama kuhusu kuokoa waTanzania walionasa kwenye vifusi kwenye jengo lililoporomoka kariakoo..

mengine unaweza kucheki kwenye majukwaa mengine gentleman 🐒
 
Nimekwambia Rais Samia ni wetu sote
Mbona unajipa kiherehere cha kujipa hati miliki ya Rais wetu
Sisi tunamkosoa sio kwamba wewe ndo unampenda Rais kuzidi sisi
Acha ujinga dogo
Sasa akikatiza ziara ndio kutatokea nini hapo ajalini? Atakuja kuona akitoka huko G20
 
Ni muhimu sana kutekeleza maagizo na amri aliyoitoa Rais Dr. Samia Suluhu Hassan kwa kamati ya maafa kwa kushirikiana na vyombo vyote vya ulinzi na usalama kuhusu kuokoa waTanzania walionasa kwenye vifusi kwenye jengo lililoporomoka kariakoo..

mengine unaweza kucheki kwenye majukwaa mengine gentleman 🐒

Kwamba walikuwa wanasubiri Amri ya Rais? Asingetoa Amri wasingefanya anything?

Au unataka kusemaje
 
wakati huo tayari mambo ya uokozi yameshakamilika, usalama umekua wa uhakika na hata raia wakiwa wanarejea kwenye makazi yao ndipo Obama nae akaenda kushuhudia kilichotokea..

ama ulitamani kuwafunga watu kamba kwa kusemaje gentleman 🐒

Dhibitisha kauli yako
 
Sasa akikatiza ziara ndio kutatokea nini hapo ajalini? Atakuja kuona akitoka huko G20
Sisi tulimpa kura Rais
Ndo kiongozi wetu
Tunahitaji tuwe nao kwenye majonzi na furaha
Anaenda Ughaibuni kufanyaje ikiwa Watu wamenasa hawana haya oxygen

Anaenda G20 ya nchi tajiri wakati nchini kwake uokoaji unafanyika Kwa jembe na jepe kama Masai anamwokoa ndama alinasa kwenye shimo la nungunungu
 
Ninaandika post hii ni saa 9 kasoro usiku machozi yananitiririka nashindwa kulala nipo nimeshika biblia na Quran hapa nashindwa hata la kufanya

Roho inaniuma maana kuna ndugu zetu wapo chini ya vifusi hadi muda huu na wanapigiwa simu zinaita wanalia tu na kutuma voice za huzuni za kuomba msaada[emoji24][emoji24].

Kuna binti yupo chini ya kifusi huko na ni mjamzito hapa nashindwa hata niandike nini

Rais anapata wapi nguvu ya kusafiri?Hiyo nguvu ya kupanda ndege hadi Brazil kaitoa wapi? Its shame and disgusting!! Yaani nyumbani watoto wako wapo chini ya kifusi halafu wewe kama mzazi unaenda kwenye sherehe ya jirani serious??

Sisemi kwa ubaya lakini Rais wetu kwa hili kakosea sana!!kaonesha ni jinsi gani asivyojali hili taifa!! Kaonesha ni jinsi gani asivyo na huruma na raia wake?

Huo mkutano una umuhimu kuliko roho za mamia ya watu walio chini ya kifusi?Rais amepata wapi huu moyo?nawaza nakosa jibu kabisa[emoji24]

Roho inaniuma mnoo!! Kwa hili rais Samia umekosea pakubwa mnoo!! its shame ni aibu mnoo na dharau kubwa kwa taifa hili.

PIA SOMA
- PICHA: Rais Dkt. Samia aelekea Brazil kushiriki mkutano wa G20

Sasa huyu Mama anaengua mpaka wagombea wa vijiji mnafikiri nani atawasemea
 
Dhibitisha kauli yako
wafunge kwanza kamba wadau ili hatimae nipate fursa nzur na muhimu sana kubainisha ukweli wa mambo juu ya upotoshaji unaoukusudia..

kwenye crime scenes Rais anakwenda kufanya nini wakati vyombo vyake vipo kazini?

Huko Central Africa, kuna Rais alijitia kimbelembele kwenda mstari wa mbele vitani akafumuliwa na kupoteza maisha kabisaa. Unafa mchezo nni?🐒
 
Wimbo kwa ajili ya AWAMU hii ya MAMA YETU!

Ninaandika post hii ni saa 9 kasoro usiku machozi yananitiririka nashindwa kulala nipo nimeshika biblia na Quran hapa nashindwa hata la kufanya

Roho inaniuma maana kuna ndugu zetu wapo chini ya vifusi hadi muda huu na wanapigiwa simu zinaita wanalia tu na kutuma voice za huzuni za kuomba msaada[emoji24][emoji24].

Kuna binti yupo chini ya kifusi huko na ni mjamzito hapa nashindwa hata niandike nini

Rais anapata wapi nguvu ya kusafiri?Hiyo nguvu ya kupanda ndege hadi Brazil kaitoa wapi? Its shame and disgusting!! Yaani nyumbani watoto wako wapo chini ya kifusi halafu wewe kama mzazi unaenda kwenye sherehe ya jirani serious??

Sisemi kwa ubaya lakini Rais wetu kwa hili kakosea sana!!kaonesha ni jinsi gani asivyojali hili taifa!! Kaonesha ni jinsi gani asivyo na huruma na raia wake?

Huo mkutano una umuhimu kuliko roho za mamia ya watu walio chini ya kifusi?Rais amepata wapi huu moyo?nawaza nakosa jibu kabisa[emoji24]

Roho inaniuma mnoo!! Kwa hili rais Samia umekosea pakubwa mnoo!! its shame ni aibu mnoo na dharau kubwa kwa taifa hili.

PIA SOMA
- PICHA: Rais Dkt. Samia aelekea Brazil kushiriki mkutano wa G20
Akibqki inasaidia nini? Bora afie huko huko, hana cha maana anachofanya zaidi ya wizi tu, Nchi yetu upo captured na kikundi kidogo cha watu, ccm,
Zamani nilikuwa najiuliza, wazungu, waliwezaje kuja Afrika, wakavamia eneo,wakashika watu, funga minyororo, wakawakokota kutoka Kigoma ujiji mpaka bagamoyo! Watu milioni 60,wamewekwa kifungoni na chama,
Hii haina tofsuti na ilivyokuwa German mashariki chini ya wa commuinist, wananchi walitengwa na ukuta, East and west German, west German neema kibao, east maisha duni, walipochoka wananchi, ukuta ulishushwa!
 
Back
Top Bottom