chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Nchi hii Ina Mabaraza ya biashara, kuanzia ngazi ya wilaya,mpaka taifa, kwa kuwa tumeamua kwamba kariakoo ndio Dubai yetu, namshauri Mh. Rais kwamba atoe hadhi maalum kwa kariakoo iwe na hadhi ya Mkoa katika muundo wa Baraza la Biashara la Taifa.
Hii itasaidia kutatua changamoto kwa wakati kuliko kuwaacha wakiwa Wana hang na hoja zao, humo watapata fursa ya kujadiliana na kutatua mambo yao, na fursa ya kukutana na viongozi.
Wasaalam
Hii itasaidia kutatua changamoto kwa wakati kuliko kuwaacha wakiwa Wana hang na hoja zao, humo watapata fursa ya kujadiliana na kutatua mambo yao, na fursa ya kukutana na viongozi.
Wasaalam