Rais Samia karibu Mbeya karibu sana Mbarali uone uchapakazi uliotukuka wa Viongozi wetu wa Wilaya

Dc wa mbarali Mh Ruben mfune ni mwizi mkubwa wa mali za umma tangu akiwa Afisa Utumishi , Ded na sasa Dc .TISS fuatilieni.
Wewe ni mpumbafu Sana, unataka kusema tangu ni Afisa utumishi TISS hawapo, akawa DED TISS hawapo leo ni DC TISS hawapo,

Fankly huyu DC huenda ndio DC bora kwa sasa Tanzania
 
UVCCM ifike mahali msikie na muelewe mdundo wa ngoma anaoutaka mchagua wimbo.

Hizi porojo hazijamsaidia lolote Kafulia, jifunzeni kwake.
CHADEMA ni taahira tupu,

MNATAKA RAIS AWEKE RCS LEGELEGE ILI MFANIKISHE AGENDA YENU YA KUPOKONYA NCHI,
 
Simfahamu DSO ila DED ni jembe Sana, DC anafaa Sana atafutiwe mkoa, TISS nisaidie hili,
 
Dc wa mbarali Mh Ruben mfune ni mwizi mkubwa wa mali za umma tangu akiwa Afisa Utumishi , Ded na sasa Dc .TISS fuatilieni.
CHADEMA wakikwambia huyu mtu hafai jua huyo mtu ndio anafaa zaidi,

Sasa hivi tukiacha unafiki unaweza kumlinganisha huyu DC na nani hapa Tanzania kwa uchapakazi?
 
Bashe anafanya kazi nzuri Sana,

Hongera RC, DC, DED, DSO,DAS et el
 

Huyu nae chawa
 
Naunga mkono hoja Mbarali wako viongozi wachapakazi
 
Nimemfuatilia kwa makini Sana Rais Samia leo, naomba kuwaambia Tanzania imepata rais mkweli na mchapaka kazi kwelikweli,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…