Hiyo idara ni kweli imeundwa na uvccm , hata hiyo promo imekaa ki pumba pumba za lumumba lumumbaDSO wa mbarali ni mkware . Amemaliza wanafunzi kila siku anawapa lift.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo idara ni kweli imeundwa na uvccm , hata hiyo promo imekaa ki pumba pumba za lumumba lumumbaDSO wa mbarali ni mkware . Amemaliza wanafunzi kila siku anawapa lift.
Wewe ni mpumbafu Sana, unataka kusema tangu ni Afisa utumishi TISS hawapo, akawa DED TISS hawapo leo ni DC TISS hawapo,Dc wa mbarali Mh Ruben mfune ni mwizi mkubwa wa mali za umma tangu akiwa Afisa Utumishi , Ded na sasa Dc .TISS fuatilieni.
CHADEMA ni taahira tupu,UVCCM ifike mahali msikie na muelewe mdundo wa ngoma anaoutaka mchagua wimbo.
Hizi porojo hazijamsaidia lolote Kafulia, jifunzeni kwake.
Kamwe CCM haitakunali janja yenuCHADEMA ni taahira tupu,
MNATAKA RAIS AWEKE RCS LEGELEGE ILI MFANIKISHE AGENDA YENU YA KUPOKONYA NCHI,
Simfahamu DSO ila DED ni jembe Sana, DC anafaa Sana atafutiwe mkoa, TISS nisaidie hili,View attachment 2315751
Mama nakusalimu kwa jina la JMT,
Mimi ni muumini sana "Satstification & appreciation"
Nafahamu kwa kutumia vyombo vyako unafahamu taarifa zote za uchapakazi na Uhodari wa DED wetu, DC na DAS wetu, DSO wetu katika Wilaya hii,
Majuzi wakati unawaapisha wakuu wapya wa mikoa ulimmwagia sifa lukuki Dada yetu Mkurugenzi wa Malinyi Mhe Joanfaith John kwa uchapakazi wake uliotukuka ambao nchi nzima imekubaliana na wewe kuhusu binti yule kuwa ni mtu wakutiliwa mfano kwa Uchapakazi anaouonesha,
Mhe Rais wangu, hebu usipite Mbarali bila kuwapongeza na kuwatia moyo hawa viongozi wetu kwa mambo makubwa wanayofanya,
Wacha nitaje machache tu niliyoyaona:-
1. Wanafanya kazi kwa Upendo na Ushirikiano wa kiwango cha juu Sana,
2. Wanafanya vizuri Sana katika ukusanyaji wa Mapato mkoa mzima wa Mbeya,
3. Mbarali,Ndio Wilaya pekee hapa Tanzania iliyosajili mifugo yake kielektroniki kwa kiwango kikubwa ili kutekeleza sera yako ya kuongeza uuzwaji wa nyama na mifugo nje ya nchi,
4. Kusimamia vizuri kilimo cha Mpunga na mazao mengine,
5. Kusimamia vizuri miradi ya Ujenzi ikiwemo hii VETA utakayoizindua leo,
6. Kusimamia swala la Elimu bure kwa watoto wetu wote,
#MBEYA TUNAKUPENDA SANA MHE RAIS NADHANI UMEJIONEA MWENYEWE MAPOKEZI YETU
View attachment 2315756
CHADEMA wakikwambia huyu mtu hafai jua huyo mtu ndio anafaa zaidi,Dc wa mbarali Mh Ruben mfune ni mwizi mkubwa wa mali za umma tangu akiwa Afisa Utumishi , Ded na sasa Dc .TISS fuatilieni.
itakuwa 08/08/2022 nadhaniTangazo halina tarehe
DED anaitwa Misana ni mtu royal Sana, ila naamini Rais anamfahamu zaidi ,DC anachapa kazi vizuri sanaSimfahamu DSO ila DED ni jembe Sana, DC anafaa Sana atafutiwe mkoa, TISS nisaidie hili,
DC hana access ya kuiba, hakuna sehemu anasaini najua hujuiDc wa mbarali Mh Ruben mfune ni mwizi mkubwa wa mali za umma tangu akiwa Afisa Utumishi , Ded na sasa Dc .TISS fuatilieni.
Bashe anafanya kazi nzuri Sana,View attachment 2315751
Mama nakusalimu kwa jina la JMT,
Mimi ni muumini sana "Satstification & appreciation"
Nafahamu kwa kutumia vyombo vyako unafahamu taarifa zote za uchapakazi na Uhodari wa DED wetu, DC na DAS wetu, DSO wetu katika Wilaya hii,
Majuzi wakati unawaapisha wakuu wapya wa mikoa ulimmwagia sifa lukuki Dada yetu Mkurugenzi wa Malinyi Mhe Joanfaith John kwa uchapakazi wake uliotukuka ambao nchi nzima imekubaliana na wewe kuhusu binti yule kuwa ni mtu wakutiliwa mfano kwa Uchapakazi anaouonesha,
Mhe Rais wangu, hebu usipite Mbarali bila kuwapongeza na kuwatia moyo hawa viongozi wetu kwa mambo makubwa wanayofanya,
Wacha nitaje machache tu niliyoyaona:-
1. Wanafanya kazi kwa Upendo na Ushirikiano wa kiwango cha juu Sana,
2. Wanafanya vizuri Sana katika ukusanyaji wa Mapato mkoa mzima wa Mbeya,
3. Mbarali,Ndio Wilaya pekee hapa Tanzania iliyosajili mifugo yake kielektroniki kwa kiwango kikubwa ili kutekeleza sera yako ya kuongeza uuzwaji wa nyama na mifugo nje ya nchi,
4. Kusimamia vizuri kilimo cha Mpunga na mazao mengine,
5. Kusimamia vizuri miradi ya Ujenzi ikiwemo hii VETA utakayoizindua leo,
6. Kusimamia swala la Elimu bure kwa watoto wetu wote,
#MBEYA TUNAKUPENDA SANA MHE RAIS NADHANI UMEJIONEA MWENYEWE MAPOKEZI YETU
View attachment 2315756
<<<<<<<<<<<<<>>>>>>>>>>>>>>>
Pitia pia hii ziara ya Waziri wa Kilimo Mbarali Hussein Bashe,
View attachment 2316020
Hili ni Shamba la Mpunga Mbarali ( Skimu ya Umwagiliaji )
View attachment 2316021
Waziri Bashe akitua na helkopta ya Jeshi Mbarali kuhamasisha kilimo cha Umwagiliaji,
View attachment 2316023
Mkuu wa mkoa Mbeya akiwa na Mawaziri wa Kilimo katika uhamasishaji wa kilimo cha Umwagiliaji Mbarali
#Hongera Sana wanaMbarali,
View attachment 2315751

Hawa wazee jf wanaijuaje au unaandika ukiwa baa
- Hawa viongozi wameamua kujisifia kwa kujifungulia uzi wenyewe
- Ina maana mama hana macho au wanamuonaje
Kiapo chetu ni kuhami viongozi wote pia kuhamasisha uwajibikaji indirectlyHuyu nae chawa
Naunga mkono hoja Mbarali wako viongozi wachapakaziView attachment 2315751
Mama nakusalimu kwa jina la JMT,
Mimi ni muumini sana "Satstification & appreciation"
Nafahamu kwa kutumia vyombo vyako unafahamu taarifa zote za uchapakazi na Uhodari wa DED wetu, DC na DAS wetu, DSO wetu katika Wilaya hii,
Majuzi wakati unawaapisha wakuu wapya wa mikoa ulimmwagia sifa lukuki Dada yetu Mkurugenzi wa Malinyi Mhe Joanfaith John kwa uchapakazi wake uliotukuka ambao nchi nzima imekubaliana na wewe kuhusu binti yule kuwa ni mtu wakutiliwa mfano kwa Uchapakazi anaouonesha,
Mhe Rais wangu, hebu usipite Mbarali bila kuwapongeza na kuwatia moyo hawa viongozi wetu kwa mambo makubwa wanayofanya,
Wacha nitaje machache tu niliyoyaona:-
1. Wanafanya kazi kwa Upendo na Ushirikiano wa kiwango cha juu Sana,
2. Wanafanya vizuri Sana katika ukusanyaji wa Mapato mkoa mzima wa Mbeya,
3. Mbarali,Ndio Wilaya pekee hapa Tanzania iliyosajili mifugo yake kielektroniki kwa kiwango kikubwa ili kutekeleza sera yako ya kuongeza uuzwaji wa nyama na mifugo nje ya nchi,
4. Kusimamia vizuri kilimo cha Mpunga na mazao mengine,
5. Kusimamia vizuri miradi ya Ujenzi ikiwemo hii VETA utakayoizindua leo,
6. Kusimamia swala la Elimu bure kwa watoto wetu wote,
#MBEYA TUNAKUPENDA SANA MHE RAIS NADHANI UMEJIONEA MWENYEWE MAPOKEZI YETU
View attachment 2315756
<<<<<<<<<<<<<>>>>>>>>>>>>>>>
Pitia pia hii ziara ya Waziri wa Kilimo Mbarali Hussein Bashe,
View attachment 2316020
Hili ni Shamba la Mpunga Mbarali ( Skimu ya Umwagiliaji )
View attachment 2316021
Waziri Bashe akitua na helkopta ya Jeshi Mbarali kuhamasisha kilimo cha Umwagiliaji,
View attachment 2316023
Mkuu wa mkoa Mbeya akiwa na Mawaziri wa Kilimo katika uhamasishaji wa kilimo cha Umwagiliaji Mbarali
#Hongera Sana wanaMbarali,
Unawaje - unajijeUnawajengea kinga mapema wasitenguliwe?
😍😍DED anaitwa Misana ni mtu royal Sana, ila naamini Rais anamfahamu zaidi ,DC anachapa kazi vizuri sana
Ila Masoud daaah.... Icho kiduku cha Sililanka.....!!!