Najua wewe ni adui yangu humu jamii forum! Hivi hao Mbeya walivo wajinga walikuwa wanamwita mtu mmoja mfupi kuwa ndo Rais wa Mbeya! Waache wavune walichopanda maana huwa wanauanaharakati mwingi sana watu wa Mbeya matokeo zero! Kibarabara kimoja mpaka Mbalizi! Yaani hata ukifika ukaambiwa jiji unaweza kucheka mpaka ulie yaani ni vituko vitupu hata stendi yao kama stendi ya haice Buhongwa haani ujinga ujinga tu usiokuwa na kichwa wala miguu!Umeelewa nilichoandika au umekurupuka kutoka msalani?
πππ nashukuru umebadilisha , ila kanuni za uandishi zipo kote sayansi na hati,kila mtu na mwandiko wake wengine tulisoma sayansi hatuwezi zingatia mambo madogo kama hayo uliyoyaona mtu wa arts.
Hoja yangu kubwa ni kwamba usimpe mtu kura kwa ahadi ya kukujengea miundombinu kwa kuwa hana hizo helaYaani umeonyesha ni jinsi gani ulivyo ng'ombe,una akili ya KIPUMBAVU,hujaelewa hata nilichoeleza mimi. Wapi nimekuambia tulimchagua huyo mbunge aliepo sasa mbeya?
Niambie kulikuwa na uchaguzi huo mwaka? Au wagombea wa ccm kupitishwa?. Niambie we ng'ombe ni wapi ambako hamkulegea mlichagua upinzani na akapita? Kwa akili yako bado umelala usingizi kwamba huo kulikuwa na uchaguzi?
Mbeya hii iliyojaa vijumba vya tope kila sehemu?Nyie wanafik mnaoitusi mbeya, kuwen na aibu basi.
Mbeya ijapokuwa ilitengwa lkn bado inajimudu, kimaendeleo kulko hata hayo majiji yenu yakipuuz mnayopewa vipaumbele kila siku.
linganisha Dom&Mbeya kimaendeleo alafu useme ni wap palistahil kupewa vipaumbele vya ujenz wa miundombinu?
Tz kuna shida ya wanasiasa uchwara wanaohujumu katiba na maendeleo ya taifa, ndio hayo mnayaona maendeleo ya kupendeleana.
Mbeya ndyo Edeni ya Tz, hutak kunywa sumu ufe.
Asee yaani ulitaka Sugu aweze kupigania barabara ya njia nne na kuendelea, kwa kipindi chake cha miaka kumi ya ubunge, mbona wao walishindwa toka uhuru mpaka sasa, nikukumbushe maendeleo hayaletwi na mbunge peke yake. ok ngoja tuone maana sasa tunae mwenye wasifa mkubwa kuliko Sugu maana huyu ni mbunge na ni naibu spika cheo ambacho hakijawahi kupatikana mkoa wa mbeya kabla. lakini pia yupo kwenye chama kilicho shika dola na serekali na yupo jikoni. Ilani +ahadi za ccm(mbunge+kauli za makamu wa rais na sasa ni rais wakati wa kampeni) ni pamoja na hili uliloliongelea kwa mbeya tuwape muda. maendeleo hayana chama ni yetu sote tuwaunge mkonoNajua wewe ni adui yangu humu jamii forum! Hivi hao Mbeya walivo wajinga walikuwa wanamwita mtu mmoja mfupi kuwa ndo Rais wa Mbeya! Waache wavune walichopanda maana huwa wanauanaharakati mwingi sana watu wa Mbeya matokeo zero! Kibarabara kimoja mpaka Mbalizi! Yaani hata ukifika ukaambiwa jiji unaweza kucheka mpaka ulie yaani ni vituko vitupu hata stendi yao kama stendi ya haice Buhongwa haani ujinga ujinga tu usiokuwa na kichwa wala miguu!