Najua wewe ni adui yangu humu jamii forum! Hivi hao Mbeya walivo wajinga walikuwa wanamwita mtu mmoja mfupi kuwa ndo Rais wa Mbeya! Waache wavune walichopanda maana huwa wanauanaharakati mwingi sana watu wa Mbeya matokeo zero! Kibarabara kimoja mpaka Mbalizi! Yaani hata ukifika ukaambiwa jiji unaweza kucheka mpaka ulie yaani ni vituko vitupu hata stendi yao kama stendi ya haice Buhongwa haani ujinga ujinga tu usiokuwa na kichwa wala miguu!Umeelewa nilichoandika au umekurupuka kutoka msalani?