Rais Samia karuhusu upandaji wa LUKU mwisho wa mwezi, kipindi wakiwa na Magufuli waliahidi kushusha bei ya umeme, Imekuwaje?

Bulelaa

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2024
Posts
1,342
Reaction score
3,247
Miongoni mwa waliohudhuria kwenye mikutano ya Rais Samia huko Katavi na mimi nilikuwepo

Kwenda kwangu kwenye mikutano hiyo, siyo kwamba ndio namkubali Rais katika utendaji wake, hapana

Nimepatwa na shida sana kichwani kuamini kwamba, huyo ndiye aliyezunguka na JPM kuomba kura huku wakituahidi maisha chipa pindi mitambo ya umeme ya JKHNP itakapokamilika na kuanza kutumika

Cha kushangaza ni kwamba, baada tu ya kukamilika na kuanza kutumika tukaanza kushuhudia Luku inawekewa tozo za ajabu ajabu zisizoeleweka,

Mbali na hilo, kipindi cha nyuma, Aliyekuwa aliyekuwa waziri wa Nishati bwana Januar Makamba, alitoa tamko mapema kuhabarisha kwamba, umeme hautashuka bei kama ilivyowahi kusikika kipindi cha viongozi hao wawili walipokuwa wakieleza manufaa ya kuwa na mradi wa JKNHP, hii ni kwa sababu walizozijuwa wao kina Makamba

Kwa maana hiyo, yawezekana kabisa kwamba, wapo na wananchi maelfu kwa maelfu waliohudhuria mikutano hiyo kwenda kumshangaa Rais huku wakiwa na maswali kama niliyonayo mimi,

Maana inakuwa ngumu sana kuamini, mtu aliyezunguka nchi nzima kutueleza umeme utashuka bei mara tu baada ya kuanza uzalishaji wa umeme kwenye mradi wa JKNHP kule rufiji leo amegeuka hivihivi yaani, uungwana ni tabu sana

Leo kageukaje? Licha ya hivyo, bado ameruhusu Luku iwe inatozwa fedha kibao mwisho wa mwezi wakati huo huo akijua walipaji wakuu wa tozo hiyo ni walala hoi waliopangishwa najumba na kundi la wenye kipato cha juu?

Siku mlala hoi atakapohitaji kuondokana na ulala hoi, shariti ajikatae, aseme yeye si yeye, bila shaka ndipo ataanza kuzisogelea ndoto zake

Mungu bariki nchi yangu Tanzania, Utupatie na viongozi makomando huwenda tutapa ahuweni!

Ameen

Pia soma: Magufuli aliondoa 'Service Charge' Tanesco ya 7,000 lakini Serikali ya sasa inazirudisha tozo kidogokidogo kupitia mfumo wa Luku
 
Itoshe tu kusema. CCM ni. ile ille...Samia anadolishia tu watu kule kama watoto,eti ameleta kile na hiki basi,utadhani ametoa hela yake mfukoni: Ni uswahili na usanii wa Zenj tu.
 
walisema umeme wa bwawa la nyerere utashusha, inakuwaje wanapandisha baada ya bwawa kujengwa, wasingejenga kabisa basi.
 
Mkuu, hio ni kodi ya nyumba, haihusihani na TANESCO,
kingine wabongo tuache kulia lia,
Mfuate mwenye nyumba wako, mwambie arudishe hio 18k unayolipa kwa mwaka, mana ni jukumu lake, mbona simple tu ?

Yan tunalia vitu vidogo vya kusolve wenyewe tu
 
kwahiyo kuna kodi ya nyumba, tofauti na ile tumeenda kulipia ardhi, mwisho ulikuwa mwezi uliopita kama sikosei. wanakata watu mara mbili basi.
 
Acha dharau kijana tuna solve vipi bila hela na vyanzo??
 
Ulishaambiwa yalikuwa madeni ya nyuma, kufika August hakutakuwa na hio changamoto
 
Acha dharau kijana tuna solve vipi bila hela na vyanzo??
Sio dharau, tuambiane ukweli, tunalia lia mno,

Kama huna vyanzo vya kulipa 18,000/- kwa mwaka bas rudi kijijin ukakae kwenye nyumba isio na umeme,

Yan upange nyumba ya 40k kwa mwezi, unashindwa kumkata aliekupangisha? Au unashindwa lipa hio 1500/- na mara nying utakuta watu watatu hadi watano wanashare meter,

Tunalalamika mno, mpaka tunapolalamika serious issue watawala wanajua ndio ile tabia yao ya kulia lia kama wachanga
 
Ndiyo mpango wenu CCM turudi wengi vijijini....eti..Kule hawali eee au ndiyo mje na unga mtuhonge tuwape kura..Unaongea kama kwamba maisha bora hapa Tanzania ni kwa hisani ya CCM?!
 
Akili zako zinafanya uhisi kila mtu ni CCM, mm nakuambia ukweli, acha kudeka deka, vitu vingine solutions zake ni simple sio za kuita wanasiasa, unakuwa kama mtoto,

Yan mbaba na ndevu zako unashindwa mpanga mwenye nyumba wako suala la buku jero ya kodi ya jengo ?

Mnafeli bana,
 
Miongoni mwa waliohudhuria kwenye mikutano ya Rais Samia huko Katavi na mimi nilikuwepo

Kwenda kwangu kwenye mikutano hiyo, siyo kwamba ndio namkubali Rais katika utendaji wake, hapana

Nimepatwa na shida sana kichwani kuamini kwamba, huyo ndiye aliyezunguka na JPM kuomba kura huku wakituahidi maisha chipa pindi mitambo ya umeme ya JKHNP itakapokamilika na kuanza kutumika

Cha kushangaza ni kwamba, baada tu ya kukamilika na kuanza kutumika tukaanza kushuhudia Luku inawekewa tozo za ajabu ajabu zisizoeleweka,

Mbali na hilo, kipindi cha nyuma, Aliyekuwa aliyekuwa waziri wa Nishati bwana Januar Makamba, alitoa tamko mapema kuhabarisha kwamba, umeme hautashuka bei kama ilivyowahi kusikika kipindi cha viongozi hao wawili walipokuwa wakieleza manufaa ya kuwa na mradi wa JKNHP, hii ni kwa sababu walizozijuwa wao kina Makamba

Kwa maana hiyo, yawezekana kabisa kwamba, wapo na wananchi maelfu kwa maelfu waliohudhuria mikutano hiyo kwenda kumshangaa Rais huku wakiwa na maswali kama niliyonayo mimi,

Maana inakuwa ngumu sana kuamini, mtu aliyezunguka nchi nzima kutueleza umeme utashuka bei mara tu baada ya kuanza uzalishaji wa umeme kwenye mradi wa JKNHP kule rufiji leo amegeuka hivihivi yaani, uungwana ni tabu sana

Leo kageukaje? Licha ya hivyo, bado ameruhusu Luku iwe inatozwa fedha kibao mwisho wa mwezi wakati huo huo akijua walipaji wakuu wa tozo hiyo ni walala hoi waliopangishwa najumba na kundi la wenye kipato cha juu?

Siku mlala hoi atakapohitaji kuondokana na ulala hoi, shariti ajikatae, aseme yeye si yeye, bila shaka ndipo ataanza kuzisogelea ndoto zake

Mungu bariki nchi yangu Tanzania, Utupatie na viongozi makomando huwenda tutapa ahuweni!

Ameen

Pia soma: Magufuli aliondoa 'Service Charge' Tanesco ya 7,000 lakini Serikali ya sasa inazirudisha tozo kidogokidogo kupitia mfumo wa Luku

"You campaign in poetry, you govern in prose" - Mario Cuomo
 
Kijana acha uongo,
Kodi ya jengo inakatwa kwenye luku,

Wew labda ulienda lipa kodi ya ardhi, ambayo ni vitu viwili tofauti
upo sahihi, nililipia kodi ya ardhi. kwahiyo kumbe unalipia ardhi na jengo juu yake tena. si wizi huo sasa.
 
Back
Top Bottom