Rais Samia kasafiri hadi na mtoto wake?

Kwenye mahafali huwa familia haishiriki? Ukizingatia ndege ni mfanano wa gari inayotumiwa na walalahoi wakiwa na shughuli yao, na hawaachi kuwajumuisha wanafamilia, kwa nafasi yake anastahili.
Chenye kunitia shaka ni hiyo shahada, kama kweli anaistahili!

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Mh! Alikwenda kuneshwa tu! Nchi hii kila moja aibe mwenye upenyo...huu ni kutapanya fedha za serikali
 
Hivi mtu kama Steve Nyerere a.k.a. Mla hela za misiba / rambirambi ana faida gani na nchi? Anaenda kunegotiate nini na Wahindi let alone kuchekesha nani ikiwa hata lugha ya kigeni hajuwi[emoji2377]

Ee Mungu baba[emoji1433]Turudishie Magufuli wetu please, hii nchi inarudi pale pale uozoni[emoji848]
 
Ameyasema hayo nchini India na kumsimamisha mwanaye Abdul ambaye alipigiwa makofi mengi katika ukumbi wa mikutano.

Mwanaye Abdul ni mwekezaji kwenye sekta ya umeme jua 😷😷😷
 
Hata mbwa wa Rais ni Rais wa mbwa wengine. Yani nile shavi afu niiache damu yangu labda sio mimi. Hadi masela watakula shavu.
 
Unajuaje mtoto amekwenda kwa nauli yake.
 
Ana kweli uongo unasambaa kuliki ukweli yan iv mkuu umefanya utafiti kweli kabla ya kuchapisha hilo andiko lako au
 
Nyerere tulimtambua yeye kama yeye
Mwinyi alivokuja ikawa ni yeye na familia yake

Mkapa alivokuja tulimtambua yeye kama yeye
Kikwete alipokuja ikawa yeye na familia yake

Magufuri alipokuja tulimtambua yeye kama yeye
Mama abdul aliposhika madaraka ni yeye na familia

Na hata kidume wa rais wa pili uko zanzibar mke wake sikuiz anafanya ziara pia.

Sipati majibu kwanini inakua ivi.
 
Wakibu wa kusafiri mpaka na watoto ziarani, na kusafiri ni mawaziri zaidi ya 9, na wachekeshaji, machawa, waigizaji na waandishi wa habari karibu TV zote kubwa za Tanzania
Usanii usanii tu

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…