Rais Samia kasafiri na kundi kubwa la watu, kodi za Watanzania zinatumiwa vibaya

Rais Samia kasafiri na kundi kubwa la watu, kodi za Watanzania zinatumiwa vibaya

Victoire

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2008
Posts
24,386
Reaction score
57,588
Rais Samia huku unatuletea matozo. Imagine hao wote unaosafiri nao kwenda Zambia kwa kodi za Watanzania.

20210823_164514.jpg
 
Mungu yupo. Hatumii akili zake, hilo ndilo tatizo kubwa zaidi, na anampa kila anaemuomba.

Kila jina ninalosoma hapo ni ......CCM, ....CCM,....CCM, kwanini wasibebane kwa kukodi ndege ya ATCL badala ya kutumia pesa za walipa kodi kwa shughuli za chama chao?
 
Rais Samia huku unatuletea matozo. Imagine hao wote unaosafiri nao kwenda Zambia kwa kodi za watanzania.

View attachment 1905055
Sio ndio vzr? Kusafirisafiri kwa viongozi huleta uhusiano Mzuri kimataifa.

Naona safari hii maisha yamekuwa nafuu mara baada ya mwenye Roho mbaya kuondoka ambaye hakutaka kusafiri, ambaye alikuwa anawanyanyasa watanzania ambaye.
 
Mbaya zaidi kiongozi wa serikali ni mmoja tu, wa ccm ndio wametawala hii ni ziara ya kichama na sio kiserikali... Mama ameweka mbele maslahi ya chama chake kuliko serikali! Nilitegemea kama kuongozana na watu angeongozana na watalaam na baadhi ya wafanyabishara ila leo nimejua mama ni empty kabisa
 
Ona huo msululu jamani. Halafu mzigo unakuja kurudi kwa watanzania kulipa kodi lukuku.
Mbona wachache Sana hebu ongeza na wake zao watoto michepuko na walinzi achilia mbali watu wa usafi , kuandaa malazi, watu wa afya, protocol,food testers na nk

Huyu wanachadema wenzagu anatufuta machozi baada ya JPM kuwa hasafiri anafungua nchi ilikuwa kisiwa

USSR
 
Back
Top Bottom