Rais Samia kasafiri na kundi kubwa la watu, kodi za Watanzania zinatumiwa vibaya

Rais Samia kasafiri na kundi kubwa la watu, kodi za Watanzania zinatumiwa vibaya

Mbaya zaidi kiongozi wa serikali ni mmoja tu, wa ccm ndio wametawala hii ni ziara ya kichama na sio kiserikali... Mama ameweka mbele maslahi ya chama chake kuliko serikali! Nilitegemea kama kuongozana na watu angeongozana na watalaam na baadhi ya wafanyabishara ila leo nimejua mama ni empty kabisa
Mpeleke mbowe gaidi akalipue umati wa sherehe

USSR
 
Yaani kusema ukweli huyu mwanamke ni hasara kabisa.
Inasikitisha sana, mama hana huruma kuteketeza mahela yote hayo kuhudhuria sherehe za kuapishwa tu. Kila mwaliko aenda yeye, sijui anaona shida gani kutuma mwakilishi hata mmoja kuliko kubeba timu yote hiyo kwa gharama za serikali. Sijui baada ya haya makodi na matozo watakuja na lipi tena, maana miradi bado mingi kuteketeza.
 
Back
Top Bottom