Rais Samia kasafiri na kundi kubwa la watu, kodi za Watanzania zinatumiwa vibaya

Rais Samia kasafiri na kundi kubwa la watu, kodi za Watanzania zinatumiwa vibaya

Maza hamna kitu, tuna bahati mbaya sana. Basi walau wazalendo wamtumie tupate katiba mpya badala ya kumtumia kupiga per diem za safari za nje.
Ukiona nchi inategemea hisani au kumtumia Raisi ili kupata katiba mpya ujue hakuna kitu hapo na nchi ni kama kanisani kwa Gwajima tuu kila ugolo wanashangilia
 
Mbaya zaidi kiongozi wa serikali ni mmoja tu, wa ccm ndio wametawala hii ni ziara ya kichama na sio kiserikali... Mama ameweka mbele maslahi ya chama chake kuliko serikali! Nilitegemea kama kuongozana na watu angeongozana na watalaam na baadhi ya wafanyabishara ila leo nimejua mama ni empty kabisa
Anawaza 2025 hao ndio watakao mpanjia ndio mana anawaza kichama zaidi.
 
Rais Samia huku unatuletea matozo. Imagine hao wote unaosafiri nao kwenda Zambia kwa kodi za watanzania.

View attachment 1905055
Wanaenda kujua , ni jinsi gani Rafiki yao alipigwa kibao funua , pamoja udhibitiwa KWA rais mpya na dola, ila Ngwara aliyopata Ndo INAKUJA tz ,Uganda n.k ni swala la mda tu,

So wacha wasafili visafali vya mwisho mwisho, ipo siku watakua wapole Kama piritoni
 
Back
Top Bottom