Sergeant Stonebridge
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 479
- 4,894
Binafsi nafurahi kuona akiboronga hivi
Ili awaharibie wanawake wenzake katika kushika nafasi nyeti Kama hizi!
Kiukweli Hana sifa hata za kuwa tu Mwenyekiti wa mtaa achilia mbali hiyo nafasi aliyonayo!
Alafu kuna watu wamekaa kabisa wanamuangalia bora Kabudi aliyeamua kukaa zake kimya!