Rais Samia kasafiri na kundi kubwa la watu, kodi za Watanzania zinatumiwa vibaya

Rais Samia kasafiri na kundi kubwa la watu, kodi za Watanzania zinatumiwa vibaya

Kwa kwelii tujitaidi wote kubana matumizi. Sie Leo boss wetu anatuomba tupande Basi tukitumia gar ya ofisini gharama itakua kubwa halafu ukiona haya unaumia kwa kweli
 
Halafu utakuta anapaa na Airbus ya serikali!! Ndani imejaa makada wa chama chake!! Inahuzunisha na kusikitisha sana.

Wananchi wako wanalia na kusaga meno kwa ongezeko kubwa la kodi, wewe uko busy tu na mambo yako! Huku Waziri wako mteule akiwakejeli wapiga kura!! Sawa!! Si policcm na tumeccm wapo kwa ajili ya kukulinda!! Ila haya yote yana mwisho.
Mlimuona Magufuli zwazwa sijui leo mnasemaje!!

That man was really a president, mzee alipokuwa anasema yeye ni Rais wa wanyonge hatukumuelewa leo sidhani kama kuna asiyeelewa maneno ya mzee!!

Rip our president, tukukumbuka baba hata mwaka bado [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Kwani wanaume huwa hawakosei?

Tangu Uhuru Viongozi walikuwa wanaume na ndio wametufikisha hapa tulipo ambapo maadui bado ni walewale ujinga, maradhi na umaskini...
Nitajie kiongozi mwanamke aliyewahi kufanya makubwa ktk Dunia hii.
 
Nilikuwa simpendi Magufuli Ila sasa namkumbuka.Bora Magufuli mara milioni 100 kuliko huyu mzululaji.Nchi yetu bado masikini sana haitakiwi kufuja fedha za walipa kodi kiasi hiki.Mwenyekiti wa CCM Tanga,Mizengo Pinda,Shaka,Kibajaji wote hao wa nini? Huu ufujaji lazima ukomeshwe.
Umeona eenhh??!!!,Huyu mama hafai kabisa.
 
Ona huo msululu jamani. Halafu mzigo unakuja kurudi kwa watanzania kulipa kodi lukuku.
Tozo Utitiri Sasa Hivi Wanakula Bata Ndani Ya Airbus

wanakula Keki Taratibu Yaani Wananchi Hoi .

Mbele Alisema Atafunga Goal Dakika Ya 89 Ndiyo Tunapigwa Na Mama!😃😁😂😀🤣😅

Mama Anaupiga Mwingi Sana Mpaka Unatoka Nje
 
Back
Top Bottom