Rais Samia kasafiri na kundi kubwa la watu, kodi za Watanzania zinatumiwa vibaya

Rais Samia kasafiri na kundi kubwa la watu, kodi za Watanzania zinatumiwa vibaya

Si umeona eenhh??!!.Tukisema Wanawake bado hamjafikia kushika nyadhifa za juu ktk nchi muwe mnakubali.


Kwani wanaume huwa hawakosei?

Tangu Uhuru Viongozi walikuwa wanaume na ndio wametufikisha hapa tulipo ambapo maadui bado ni walewale ujinga, maradhi na umaskini.

Hospitali dawa hakuna, Maji hakuna, barabara hakuna, Shule hazitoshi, zahanati hakuna, vituo vya polisi hadi Wilayani n.k

Jadili kwa hoja na siyo jinsia yake.

Mkosoe kama mtu na siyo kama mwanamke.

Wanaume Ndiyo walotufikisha hapa mpaka mtu anasema yamkini tuliwahi kudai uhuru tulipaswa kuvuta subira tujipange kwanza.
 
Nilikuwa simpendi Magufuli Ila sasa namkumbuka.Bora Magufuli mara milioni 100 kuliko huyu mzululaji.Nchi yetu bado masikini sana haitakiwi kufuja fedha za walipa kodi kiasi hiki.Mwenyekiti wa CCM Tanga,Mizengo Pinda,Shaka,Kibajaji wote hao wa nini? Huu ufujaji lazima ukomeshwe.
 
Watanzania mutanikumbuka!

Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app

IMG-20210823-WA0098.jpg
 

Attachments

  • VID-20210821-WA0110.mp4
    15.4 MB
Mbona wachache Sana hebu ongeza na wake zao watoto michepuko na walinzi achilia mbali watu wa usafi , kuandaa malazi, watu wa afya, protocol,food testers na nk

Huyu wanachadema wenzagu anatufuta machozi baada ya JPM kuwa hasafiri anafungua nchi ilikuwa kisiwa

USSR
Mbona kamuacha bashite kwenye msafara kahofu atamnukisha soksi
 
Sio ndio vzr? Kusafirisafiri kwa viongozi huleta uhusiano Mzuri kimataifa.

Naona safari hii maisha yamekuwa nafuu mara baada ya mwenye Roho mbaya kuondoka ambaye hakutaka kusafiri, ambaye alikuwa anawanyanyasa watanzania ambaye.
Umejijambia usoni
 
Tatizo sio idadi ya watu anaoongozana nao, tatizo ni watu wa aina gani? wajumbe wa CCM wanafuata nini huko, kwanini hiyo nafasi wasingekwenda wafanyabiashara?
Wanaenda kumshauri rais mpya mbinu za kutumia ili chama chake kitawale muda mrefu.
Hata angeenda na maafisa wa Tume ya uchaguzi basi, it is very simple and just using common sense!
 
Nataman wale walokuwa wanamwimbia magufuli jeshi warudi road kwa wingi ule ule
 
Ndomaana analipenda dege kubwa lile Airbus

Dodoma Hapa Kazi tu linafanya kazi kweli kweli
Halafu unasikia ATCL inatengeza hasara za Mabillioni na Wa-Tanzania wanashangaa? Itatengeneza faidi saa ngapi wakati midege yenyewe inafanywa Uber na Ikulu badala ya kuchacharika kusafirisha abiria huku na huko. Ndege ya Rais ipo wameitupilia huko?
YES, Kiongozi kama Papa hutumia ndege ya shirika la ndege la ALITALIA awapo ziarani lakini akirudi tu Vatican hupigwa Invoice yao na wanalipa bill msitake kuniambia kuwa ati ATCL wana uthububu wa kuipiga Ikulu invoice na ati wanalipa? Nachelea kuaminini! #Mtanikumbuka#
 
Back
Top Bottom