Rais Samia kasafiri na kundi kubwa la watu, kodi za Watanzania zinatumiwa vibaya

Rais Samia kasafiri na kundi kubwa la watu, kodi za Watanzania zinatumiwa vibaya

Leo nimekubali yule Mama hamna kitu. Yaani anasema tufunge mkanda lakini anabeba watu kibao kwenye pesa zetu za tozo?
Anakwenda Na Airbus Ya Watu 120 Hapo Jirani
Huku Tanzania One Ipo Jet Stream 50 😀😂😃😁
Watatuuwa Na Tozo!! Ccm Hiyo
 
Ona huo msululu jamani. Halafu mzigo unakuja kurudi kwa watanzania kulipa kodi lukuku.
Nilizania anakwenda na mawaziri kwaajili ya kuwashawishi Zambia wasipitishe mizigo Msumbiji wapitishe zaidi huku,yeye anakwenda na watu wa siasa wengi kwani tuna mapungufu ya wana itikadi? 🙄 🙄
 
Hayati hakusafiri watu wakasema tatizo ni kingereza huyu wa sasa anasafiri watu wanadai gharama ni nyingi wakati chanzo ni tozo!.

Mtanzania akiambiwa hajielewi anarusha ngumi.
Hapana jopo analosafiri nalo Zambia tunauingiliano nao kwa nyanja ya usafirishaji nafikiri kwenda na watu wakudumisha ushiikiano nao kibiashara zaidi.
 
She is a clown.Hiyo safari ya Zambia ina maslahi gani mapana kwa Taifa?Tanzania baada ya kutawaliwa na kichaa sasa hivi inatawaliwa na tahira!🚶🚶🚶
 
Mlimuona Magufuli zwazwa sijui leo mnasemaje!!

That man was really a president, mzee alipokuwa anasema yeye ni Rais wa wanyonge hatukumuelewa leo sidhani kama kuna asiyeelewa maneno ya mzee!!

Rip our president, tukukumbuka baba hata mwaka bado [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]


Kwani alimteua nani kuwa makamu wa rais wake?
 
Back
Top Bottom