Rais Samia kasafiri na kundi kubwa la watu, kodi za Watanzania zinatumiwa vibaya

Rais Samia kasafiri na kundi kubwa la watu, kodi za Watanzania zinatumiwa vibaya

Mbaya zaidi kiongozi wa serikali ni mmoja tu, wa ccm ndio wametawala hii ni ziara ya kichama na sio kiserikali... Mama ameweka mbele maslahi ya chama chake kuliko serikali! Nilitegemea kama kuongozana na watu angeongozana na watalaam na baadhi ya wafanyabishara ila leo nimejua mama ni empty kabisa
Wafabiashara wann umeambiwa anakwenda kuhudhuria sherehe za uapisho.
 
Yaani sisi, kweli Taifa la wajinga kama siyo wendawazimu. Sasa hao viongozi wa chama wanaenda kufanya nini? Hivi kuna nchi itapeleka viongozi wa chama kwendq kuhudhuria hafla ya kumwapisha Rais huyo wa Zambia.

Hakika nimeamini, ukiwa CCM, akili, hekima na aibu vinaenda likizo.
 
Magufuli pamoja na kasoro zake kwenye mambo mengine, ujinga kama huu hakuwahi kufanya. Kuna mambo Magufuli alifanya vibaya sana (hasa kwenye demokrasia na haki) lakini kuna maeneo alifanya vizuri.

Tungekuwa na Serikali yenye watu wenye akili nzuri na hekima, wangeyaacha mabaya, wangeyalinda mazuri yake.
 
Mbona wachache Sana hebu ongeza na wake zao watoto michepuko na walinzi achilia mbali watu wa usafi , kuandaa malazi, watu wa afya, protocol,food testers na nk

Huyu wanachadema wenzagu anatufuta machozi baada ya JPM kuwa hasafiri anafungua nchi ilikuwa kisiwa

USSR
Watanzania tuache mizaha kwenye mambo ya msingi. Huyu anatumia pesa hovyo, anamfuta machozi nani?

Hayati Magufuli (japo sipendi kumlalamikia marehemu, maana amemaliza safari yake ya hapa Duniani), kuna maeneo alifanya vibaya sana, lakini kuna maeneo alifanya vizuri. Mazuri yake yalistahili kuchukuliwa na kuigwa, mabaya yake yalistahili kuachwa. Sasa huyu anayaacha karibia yote, machache anayoyaiga ni yale mabaya kama yale ya kubambikia watu kesi.
 
Rais Samia huku unatuletea matozo. Imagine hao wote unaosafiri nao kwenda Zambia kwa kodi za Watanzania.

View attachment 1905055
Safari ya siku moja kwenda na kurudi gharama ni zipi?

Ndege wanatumia moja, mafuta ni hayo hayo, per diem ya serikali haizidi $ 438 per day per person, ila hiyo haizidi siku, so half day means half per diem around $ 219

Hivi kwa msafara wa Mh. Rais, hata akiwa na watu say 40 kwa safari ya Zambia. Gharama za per diem 40 * $219 = $ 8,760

Ebu tuambiane ukweli, Mh. Rais akisafiri per diem ya anafutana naye wote ikawa hata $ 10,000 per day, alafu mafuta ya ndege wanaweka hapa Tz kwenda na kurudi, hiyo ni gharama kubwa?


Nauliza, $ 10,000 per diem plus gharama ya ndege, ambayo hata akienda mtu mmoja gharama ya mafuta iko pale pale. Hizi ni gharama kubwa?

Hivi ni kuwa hesabu kwenu ngumu sana au hamjui gharama za watumishi wa umma maana mnapiga kelele tu humu. Hamna data zozote za kuonyesha ni ghali, yaani siasa tupu. Sioni gharama zozote kubwa to be honest.
 
Magufuli pamoja na kasoro zake kwenye mambo mengine, ujinga kama huu hakuwahi kufanya. Kuna mambo Magufuli alifanya vibaya sana (hasa kwenye demokrasia na haki) lakini kuna maeneo alifanya vizuri.

Tungekuwa na Serikali yenye watu wenye akili nzuri na hekima, wangeyaacha mabaya, wangeyalinda mazuri yake.
Acha mkomeshwe demokrasiA ipi unazungumziA.Chadema majanga mlilewa sana baada ya Magufuli kufariki, vumilieni dawa ikamate mshono
 
Back
Top Bottom