Safari ya siku moja kwenda na kurudi gharama ni zipi?
Ndege wanatumia moja, mafuta ni hayo hayo, per diem ya serikali haizidi $ 438 per day per person, ila hiyo haizidi siku, so half day means half per diem around $ 219
Hivi kwa msafara wa Mh. Rais, hata akiwa na watu say 40 kwa safari ya Zambia. Gharama za per diem 40 * $219 = $ 8,760
Ebu tuambiane ukweli, Mh. Rais akisafiri per diem ya anafutana naye wote ikawa hata $ 10,000 per day, alafu mafuta ya ndege wanaweka hapa Tz kwenda na kurudi, hiyo ni gharama kubwa?
Nauliza, $ 10,000 per diem plus gharama ya ndege, ambayo hata akienda mtu mmoja gharama ya mafuta iko pale pale. Hizi ni gharama kubwa?
Hivi ni kuwa hesabu kwenu ngumu sana au hamjui gharama za watumishi wa umma maana mnapiga kelele tu humu.