Wacha watanzania wakome, mlimtukana sana mzee wa watu. Ngoja apumzike Kwa amani [emoji24] ya Bwana. Alisema tutamkumbuka. Tunazidi kumlilia tuSio ndio vzr? Kusafirisafiri kwa viongozi huleta uhusiano Mzuri kimataifa.
Naona safari hii maisha yamekuwa nafuu mara baada ya mwenye Roho mbaya kuondoka ambaye hakutaka kusafiri, ambaye alikuwa anawanyanyasa watanzania ambaye.
Wewe usiye hasara hujawahi luwa hata mwenyekiti wa mtaaYaani kusema ukweli huyu mwanamke ni hasara kabisa.
Wanawake ni matatizo toka walipoimbwa,kulikataa hilo ni kwenda against nature.Rais gani wa kiume ulimukna amekusanya Viongozi wa Chama na Wanachana akaenda nao kwenye safari ya Kiserikali?Kwani wanaume huwa hawakosei?
Tangu Uhuru Viongozi walikuwa wanaume na ndio wametufikisha hapa tulipo ambapo maadui bado ni walewale ujinga, maradhi na umaskini.
Hospitali dawa hakuna, Maji hakuna, barabara hakuna, Shule hazitoshi, zahanati hakuna, vituo vya polisi hadi Wilayani n.k
Jadili kwa hoja na siyo jinsia yake.
Mkosoe kama mtu na siyo kama mwanamke.
Wanaume Ndiyo walotufikisha hapa mpaka mtu anasema yamkini tuliwahi kudai uhuru tulipaswa kuvuta subira tujipange kwanza.
Magufuli alituumiza sana Watumishi wa umma! Hilo halito sahaulika kamwe kwenye akili yangu!Mlimuona Magufuli zwazwa sijui leo mnasemaje!!
That man was really a president, mzee alipokuwa anasema yeye ni Rais wa wanyonge hatukumuelewa leo sidhani kama kuna asiyeelewa maneno ya mzee!!
Rip our president, tukukumbuka baba hata mwaka bado [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Acheni wivuuMtanikumbuka
We jamaa ni pimbi kabisa... hilo dege kutua hapo lusaka ni pesa zaidi ya tsh 30m kama malipo ya parking, bado hujalipa kodi na pesa za malazi. Kwa ujumla 0.5B TSH lazima ipotee.Safari ya siku moja kwenda na kurudi gharama ni zipi?
Ndege wanatumia moja, mafuta ni hayo hayo, per diem ya serikali haizidi $ 438 per day per person, ila hiyo haizidi siku, so half day means half per diem around $ 219
Hivi kwa msafara wa Mh. Rais, hata akiwa na watu say 40 kwa safari ya Zambia. Gharama za per diem 40 * $219 = $ 8,760
Ebu tuambiane ukweli, Mh. Rais akisafiri per diem ya anafutana naye wote ikawa hata $ 10,000 per day, alafu mafuta ya ndege wanaweka hapa Tz kwenda na kurudi, hiyo ni gharama kubwa?
Nauliza, $ 10,000 per diem plus gharama ya ndege, ambayo hata akienda mtu mmoja gharama ya mafuta iko pale pale. Hizi ni gharama kubwa?
Hivi ni kuwa hesabu kwenu ngumu sana au hamjui gharama za watumishi wa umma maana mnapiga kelele tu humu.
Mungu si AthumaniRais Samia huku unatuletea matozo. Imagine hao wote unaosafiri nao kwenda Zambia kwa kodi za Watanzania.
View attachment 1905055
Ni ujumbe wa watu nane hivi na walinzi na wasaidizi labda watu 15. Hapo utaona wanaondoka na pipa la atcl lenye kubeba abiria 150 badala ya ndege ndogo ya rais.Rais Samia huku unatuletea matozo. Imagine hao wote unaosafiri nao kwenda Zambia kwa kodi za Watanzania.
View attachment 1905055
... anaupiga mwingi... MATAGA na Sukuma Gang wanakomeshwa...Ona huo msululu jamani. Halafu mzigo unakuja kurudi kwa watanzania kulipa kodi lukuku.
Tozo ya uzalendoOna huo msululu jamani. Halafu mzigo unakuja kurudi kwa watanzania kulipa kodi lukuku.
Rais Samia huku unatuletea matozo. Imagine hao wote unaosafiri nao kwenda Zambia kwa kodi za Watanzania.
View attachment 1905055
Samia is an empty suit…
Leo nimekubali yule Mama hamna kitu. Yaani anasema tufunge mkanda lakini anabeba watu kibao kwenye pesa zetu za tozo?