robinson crusoe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2020
- 762
- 1,236
Hizi ni siasa za kushangiliana bila kuulizana maswali, lakini miezi michache iliyopita huyu huyu Samia alichochea kuchukiwa kwa Spika, ambaye ni mbunge alipokosoa tabia ya serikali kukopa. Jana kasema huenda chawa wake watakuvamia ukitumia matusi kumkosoa, mbona Ndugai alipomkosoa alishirikiana na hao chawa wake kumshambulia mkosoaji?
Kwa vyama vya siasa muliokuwepo mkutanoni, fahamuni hiyo ni kunyamazisha mambo ili yake yafanikiwe. Ina maana siku mukisema anawapa vyeo wasiostahili mutaambiwa ni matusi. Mukisema mawaziri wake wanachota pesa ya serikali na kujenga vituo vya mafuta, itakuwa ni matusi. Majukwaani mutasema nini kinachovumilika kwa rais huyu?