Patriot
JF-Expert Member
- Feb 11, 2008
- 5,705
- 4,703
Tatizo lako wewe umtoa maoni yanayomhusu Ndugai tuuuu! Kuwa mkweli, sema pia yanayomhusu Samia kama rais wa nchi na jinsi alivyoonesha tabia ya kukosa uvumilivu na kuanza kuzungumza kama Hadija Koppa wa taarabu. Na si mara ya kwanza yeye kufanya hivyo. Kumbuka alivyosema waziri wa kilimo wakati ule Prof. Mkenda kwamba aliyoyafanya ni nonsense!Unawezaje kusema Ndugai hakua na nafasi serikalini?
Nikweli hakua na nafasi serikalini lakini, alikua mkuu wa mhili mkubwa , wenye jukim la kuisimamia serikali.
Kumbuka kanuni za bunge zimetoa Kinga kwa mbunge yeyote ,achana na sipika ,hata mbunge wakawaida , kutohojiwa kwa Yale atakayo ya sema akiwa Bungeni.
Sipika Ndugai kama kiongozi wa bunge , alikua na na nafasi nzuri ya kuionya /kuishauli /kuiwajibisha/ serikali, akiwa ndani ya Bunge kupitia njia mojawapo.
1: Angeweza kumuagiza waziri wa fedha kupitia kale kakipengere ka kauli za Serikali.
2: Angeweza kumtuma mbunge yeyote wapenyeze hoja binafsi na WA kaijadli nakutoa azimio la bunge kama chombo.
3; Pamoja na hayo yote, katiba imempa mamlaka ya kuitisha kura, ya kutokua na Imani na Rais.
Vyote hivyo akaviacha , akachagua kwenda kulia kongwa kwa wazee.
Kwa udhaifu huo Ndugai hasitahili kuhulumiwa Wala kuwa kwenye record zawatu waliowahi kuonewa na watawala.
Kwa ujumla yote anayoyafanya, yeye ni nonsensical zaidi. Anaposema uvumilivu ni kuwavumilia wanaomkosea ikiwa ni pamoja na akina Ndugai. Kama hawezi lazima tusema ni useless leader, nonstarter!