robinson crusoe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2020
- 762
- 1,236
Labda chawa wake walimshurutisha kuchukua maamuzi.Hizi ni siasa za kushangiliana bila kuulizana maswali, lakini miezi michache iliyopita huyu huyu Samia alichochea kuchukiwa kwa Spika, ambaye ni mbunge alipokosoa tabia ya serikali kukopa. Jana kasema huenda chawa wake watakuvamia ukitumia matusi kumkosoa, mbona Ndugai alipomkosoa alishirikiana na hao chawa wake kumshambulia mkosoaji?
Kwa vyama vya siasa muliokuwepo mkutanoni, fahamuni hiyo ni kunyamazisha mambo ili yake yafanikiwe. Ina maana siku mukisema anawapa vyeo wasiostahili mutaambiwa ni matusi. Mukisema mawaziri wake wanachota pesa ya serikali na kujenga vituo vya mafuta, itakuwa ni matusi. Majukwaani mutasema nini kinachovumilika kwa rais huyu?
Kipindi cha Ndugai alikuwa hajaruhusu kukosoa, ni kama mikutano ya kisiasa. Ila job nae zezeta alishindwa kusimamia anachoaminiHizi ni siasa za kushangiliana bila kuulizana maswali, lakini miezi michache iliyopita huyu huyu Samia alichochea kuchukiwa kwa Spika, ambaye ni mbunge alipokosoa tabia ya serikali kukopa. Jana kasema huenda chawa wake watakuvamia ukitumia matusi kumkosoa, mbona Ndugai alipomkosoa alishirikiana na hao chawa wake kumshambulia mkosoaji?
Kwa vyama vya siasa muliokuwepo mkutanoni, fahamuni hiyo ni kunyamazisha mambo ili yake yafanikiwe. Ina maana siku mukisema anawapa vyeo wasiostahili mutaambiwa ni matusi. Mukisema mawaziri wake wanachota pesa ya serikali na kujenga vituo vya mafuta, itakuwa ni matusi. Majukwaani mutasema nini kinachovumilika kwa rais huyu?
Hata mimi najihoji hilo swali[emoji848]Hando yupo wapi , sasa hv?
Mfano hovyo huu! Ndugai ni Mbunge na alikuwa jimboni kwake akizungumza na wapiga kura wake. Ndugai hakuwa na nafasi serikalini. au una maana Huko kukosoa ni wasio wana CCM tu?Hata ww hutegemei mkeo akukosoe mtaani wakati mpo nae kila siku mnalala pamoja chumbani
Nami naamini kichwa kiko wazi. This time kaambiwa hayo, kaja kuyasema bila kumbukumbu ya jana.Mnafiki huyu maza
Wana ccm wenye hadhi ya ndugai ni sehemu ya utendaji wa ccm.Mfano hovyo huu! Ndugai ni Mbunge na alikuwa jimboni kwake akizungumza na wapiga kura wake. Ndugai hakuwa na nafasi serikalini. au una maana Huko kukosoa ni wasio wana CCM tu?
Hizi ni siasa za kushangiliana bila kuulizana maswali, lakini miezi michache iliyopita huyu huyu Samia alichochea kuchukiwa kwa Spika, ambaye ni mbunge alipokosoa tabia ya serikali kukopa. Jana kasema huenda chawa wake watakuvamia ukitumia matusi kumkosoa, mbona Ndugai alipomkosoa alishirikiana na hao chawa wake kumshambulia mkosoaji?
Kwa vyama vya siasa muliokuwepo mkutanoni, fahamuni hiyo ni kunyamazisha mambo ili yake yafanikiwe. Ina maana siku mukisema anawapa vyeo wasiostahili mutaambiwa ni matusi. Mukisema mawaziri wake wanachota pesa ya serikali na kujenga vituo vya mafuta, itakuwa ni matusi. Majukwaani mutasema nini kinachovumilika kwa rais huyu?
Unawezaje kusema Ndugai hakua na nafasi serikalini?Mfano hovyo huu! Ndugai ni Mbunge na alikuwa jimboni kwake akizungumza na wapiga kura wake. Ndugai hakuwa na nafasi serikalini. au una maana Huko kukosoa ni wasio wana CCM tu?