Rais Samia kasema kosoeni serikali, Ndugai alipokosoa nini kilifuata?

Tatizo lako wewe umtoa maoni yanayomhusu Ndugai tuuuu! Kuwa mkweli, sema pia yanayomhusu Samia kama rais wa nchi na jinsi alivyoonesha tabia ya kukosa uvumilivu na kuanza kuzungumza kama Hadija Koppa wa taarabu. Na si mara ya kwanza yeye kufanya hivyo. Kumbuka alivyosema waziri wa kilimo wakati ule Prof. Mkenda kwamba aliyoyafanya ni nonsense!

Kwa ujumla yote anayoyafanya, yeye ni nonsensical zaidi. Anaposema uvumilivu ni kuwavumilia wanaomkosea ikiwa ni pamoja na akina Ndugai. Kama hawezi lazima tusema ni useless leader, nonstarter!
 
Yule Karma imepita naye Kwa kumnyima Lisu haki yake ya msingi imepitia njia Ile Ile. Wanaopaswa kuikosoa serikali walio nje ya mihimili 3 tofauti na hapo utavamiwa na chawa wa Mama, pitishia hoja zako kwa wasio kuwa hao kisha kaa ukishuhudia malumbano(sasa wapinzani maadui kwako hoja utampa Nani kwa usiri zaidi ya kujivisha miwani ya mbao wajuba wanapita na wewe no time).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…