92 jerrie
JF-Expert Member
- Feb 28, 2022
- 7,273
- 16,705
Sasa huyu raisi kweli kilaza kama anadai hatujui katiba na hatuitaki sasa tukiijua hao ccm wataweza kweli kukaa madarakani kwann wasiibadili alafu kukawa na tume huru ndipo elimu ikaendelea kutolewa. Watu wanajua katiba ina mambo mengi ya kulindana na ndio maana wanalazimisha iwepo mbali nahapo hakuna jipya. Mfano wapinzani wakichukua nchi 2025 lazima ccm itataka kuwepo na katiba mpya kwakua iliyopo inawalinda sana waliopo madarakani