MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Ndo Rais na mwenyekiti wa CCM kashasema. Kaa kwa kutuliaElimu gani?. Huyo Rais alikuwa makamu mwenyekiti kwenye bunge la katiba, Leo ndio anadai watu wapewe elimu. Acheni utapeli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo Rais na mwenyekiti wa CCM kashasema. Kaa kwa kutuliaElimu gani?. Huyo Rais alikuwa makamu mwenyekiti kwenye bunge la katiba, Leo ndio anadai watu wapewe elimu. Acheni utapeli.
Yeye mwenyewe alikuwa makamu mwenyekiti wa bunge la katiba, Leo anajifanya watu hawana elimu.Alichoongea yupo sahihi sana ila watz sisi ni wajuaji na wakosoaji wazuri ndio maana anaonekana kaongea vibaya kazungumza vzr sana
Katiba mpya inashida gani?. Acheni uoga.Jk.alikua na lengo zuri tu mkuu...
Hao wanaomdhibiti samia leo ndio waliomdhibiti jk.
Kuna watu wamekula viapo vya kazi ya kuilinda hii nchi maisha yao yote..
Wakati wewe na Cheo chako cha urais wa miaka mitano unataka kuwaletea msumbuvu katika kazi yao?
Usikubari kupotoshwa na watu wenye chuki itafute hotuba usikie mwenyewe uache kusikiliza kauli za watu wa mtandaoKwa mwendo huu sizani kama watu watajitokeza kupiga kura
Rais nani kamchagua?. Halafu sio kila anachosema Rais ni sahihi. Katiba ya 1977 nani alipewa elimu?. Tuache ushabiki kwenye mambo ya nchi.Ndo Rais na mwenyekiti wa CCM kashasema. Kaa kwa kutulia
Sio anajifanya kaliona ilo toka akiwa huko ndio maana kalibeba leo kutokana na mamla aliyo nayoYeye mwenyewe alikuwa makamu mwenyekiti wa bunge la katiba, Leo anajifanya watu hawana elimu.
CHADEMA walionesha uungwana ila inaonekana huyo mama Hana uungwana ndio maana Leo wamekimbia, amebakia kufura na kufika huku akijisifia amelelewa kwenye maadili. Nani kamuuliza?Wakati mgumu kivipi wakati hata CHADEMA wanamkubali na kumwomba awe mgeni rasmi kwenye sherehe za BAWACHA? Acheni uoga. Mama bado yupo sana labda tu Mungu ampende zaidi.
Mkuu hata tukisema mchakato wa katiba uanze unadhani kuna vifungu ninyi upinzani mtaweza kubadili? Idadi ya wabunge wa CCM ni kubwa kiasi kwamba hii katiba mnayolazimisha kwa sasa itakuwa kama vile katiba ya CCM. Upinzani upambane kuingiza wabunge wengi bungeni 2025 ili kwenye mabadiliko ya katiba muwe na nguvu. Mkuu Economist kasome sheria ya mabadiliko ya katiba ya mwaka 2011 uone jinsi gani ilivyo ngumu nyie wapinzani kuweza kufanikisha kuingiza vifungu vipya au kubadili baadhi. Mimi ni mwanaCCM ila baada ya kusoma katiba pendekezwa ya Chenge nikaona bora tubaki tu na hii iliyopo maana ile pendekezwa haifai kabisa. Rasimu ya Warioba kwa haraka unaweza sema ni nzuri ila ni ya hovyo iliyolenga zaidi kuwanufaisha wanasiasa kwenye vyeo. Haina faida kwa mwananchi. UMENIELEWA?Elimu gani?. Huyo Rais alikuwa makamu mwenyekiti kwenye bunge la katiba, Leo ndio anadai watu wapewe elimu. Acheni utapeli.
Yale tuliyotoa kwenye Tume ya jaji warioba nini? Tena rais ndo alikuwa makamu mwenyekiti wa bunge la katiba yaani kajitoa fahamu kiasi hikiUmejitahidi kupotosha mkuu,
Alichosema ni kuwa, watu wapewe shule vizuri ya katiba hii tulionayo, na pia kasema vizuri kabisa, katiba ni ya watanzania, hatuwez sema tuchukue maoni ya wanasiasa tu ndio tuunde katiba, lazima kila mtu atoe maoni, na ili kila mtu atoe maoni ni lazima watu waijue hii katiba iliyopo, na yupo sahihi.
Katiba iliyopo ndio inawazuia kuingia Ikulu??Sasa wenzako wa vyama wanataka katiba ibadilishwe ili waingie ikulu which ofcorse siyo mbaya lakini hawana nia njema na wananchi.
Hiyo mpya watakaoamua sio wananchi??Wanaoamua ni wananchi siyo ccm
Nia njema ndio Nini? Kuficha ripoti ya CAG na kubamiza wananchi na tozo?Sasa wenzako wa vyama wanataka katiba ibadilishwe ili waingie ikulu which ofcorse siyo mbaya lakini hawana nia njema na wananchi.
Acheni hizo, mlikaa miaka 46 ndio mje mfundishe wananchi kuhusu katiba ya Sasa?. Yani mliposikia Kuna hitaji la katiba mpya ndio mmekimbilia kwenye kutoa elimu kwa miaka mitatu. Tuacheni ujanjaujanja usio kuwa na Faida.Sio anajifanya kaliona ilo toka akiwa huko ndio maana kalibeba leo kutokana na mamla aliyo nayo
Kwani uongo kuwa watu wana elimu au wanajua vigungu vya katibaa vyote?
Je ni watz wote wanajua ni vipengele gani vya kufanyia marekebisho?
Je ni watz wote wanajua au wanayo katiba na waieleqa vyema?
Kwani akina jaji warioba walipozunguka kupata maoni walizunguka kwenye mawe SI watu!Umejitahidi kupotosha mkuu,
Alichosema ni kuwa, watu wapewe shule vizuri ya katiba hii tulionayo, na pia kasema vizuri kabisa, katiba ni ya watanzania, hatuwez sema tuchukue maoni ya wanasiasa tu ndio tuunde katiba, lazima kila mtu atoe maoni, na ili kila mtu atoe maoni ni lazima watu waijue hii katiba iliyopo, na yupo sahihi.
Wewe kwanini unataka katiba mpya?Acheni hizo, mlikaa miaka 46 ndio mje mfundishe wananchi kuhusu katiba ya Sasa?. Yani mliposikia Kuna hitaji la katiba mpya ndio mmekimbilia kwenye kutoa elimu kwa miaka mitatu. Tuacheni ujanjaujanja usio kuwa na Faida.
Wananchi gani hawaelewi?. Unadhani kilichomfanya mama yenu aje na single ya Elimu ni Nini?.Jitahidini wananchi wawaelewe laa sivyo mtaendelea kumtafuta mchawi kumbe wachawi ni nyie wenyewe.
Tofautisha elimu na maoni. Watu wanapinga kuzunguka miaka mitatu kutoa elimu ya katiba ya Sasa.Katiba ya warioba ilikuwa miaka kumi iliyopita,
Unadhani watu walioongezeka hawastahili kutoa maoni yao? Watoto wenye miaka 8 kipindi hicho now wana 18, huoni kama ni muda mrefu sana?