Rais Samia, Katiba Mpya ndio suluhu ya matatizo ya Watanzania

Rais Samia, Katiba Mpya ndio suluhu ya matatizo ya Watanzania

Katiba mpya itapatikana tu, watanzania sio wajinga.
Hatuwez ruhusu hiyo kitu Kama mlishindwa kipind mpo na godfather wenu sahau
Hiyo ndiyo mistake mlifanya,
Tuacheni tujenge nchi kwanza
 
Hatuwez ruhusu hiyo kitu Kama mlishindwa kipind mpo na godfather wenu sahau
Hiyo ndiyo mistake mlifanya,
Tuacheni tujenge nchi kwanza
Hii nchi haina raia mpumbavu kama wewe unayefikiri kutumia makalio na mavi
 
Hatutaki katiba mpya tunataka iendelee hii hii. Huu unafiki wenu mpaka maslahi yenu yaguswe ndio mnajifanya mnataka katiba hatutaki.
Katiba mpya ni kwa maslahi yako, na kizazi kijacho. Acha kuzira kama demu aliyemwagiwa mzigo.
 
Iwe ni kuwa na bunge lenye meno na amabalo litakuwa wajibu wa kuiwajibisha serikali lazima watanzania tukomae tupate katiba mpya.

Iwe ni kudhibiti wanasiasa waovu ambao walishageuza nchi yetu kama shamba la bibi kuvuna na kuiba mali za umma. Tunahitaji katiba mpya.

Kulinda na kutetea haki za kila mtanzania dhidi ya maovu ya udhalimu wa wakora wa kisiasa na wanaoua, kutesa na kuletea maumivu watanzania. Tunahitaji katiba mpya.

Katiba mpya itafutwe kwa kila namna, iwe kwa maandamano, makongamano, elimu na kuhamasisha watanzania wote bila kujali itikadi zao.

Katiba mpya ndio suluhu la matatizo ya taifa letu. Tupate katiba ambayo itaruhusu raisi, spika, waziri , Igp na kiongozi yoyote kushitakiwa kama akifanya kosa.
Hivi shule si zimeshafunguliwa? Post yako ya leo ni ya tofauti sana na ninavyokufahamu katika kutoa mada.
 
Naona ushaingiziwa kidole cha kati
Unapiga kelele,mbona kipind cha mwendazake huku sema haya mambo??

Pumbavu mkubwa wewe nani hakujui wewe mataga baada ya lile genge lenu kupigwa bomu la nyuklia na kusarambatika
Unakuja kulia lia hapa thee theee thee katiba mpya

Mshenzi mkubwa wewe
Hatutak katiba mpya kwanza haipo kwenye ilan yetu
Tuache tuletee wananchi maendeleo

Kama hutaki kunywa sumu ufe umfuate yule godfather wenu

Mtanyooka tuu Bushmen nyie
Duh !
 
Katiba siyo kipaumbele kwa sasa tunataka maendeleo kutukana kwako haitasaidia.
Wananchi ndio tutaamua maana hii nchi inaelekea pabaya. Sijakutukana ila nakukumbusha wewe ni mburura.
 
Kenya walipambania Katiba Mpya wakapoteeza feedha nyingi sana kwa hilo zoezi, matokeo yake mambo ni yale yale, ufisadi ni ule ule.

Katiba mpyaa sio solution ya matatizo ya mtanzania. Siku watu wotee tukibadili mindset basi taifa litasonga.
 
Katiba mpya haihitaji ushabiki na upuuzi kama wako. Inahitaji watu makini.
Nilijua mkipigwa tutaimba wimbo mmoja. Mlidhani watu wa Pwani wana aibu? Hao aibu siyo sehemu ya maisha yao, wanafanya ujinga halafu wanakuchekea kama siyo wao. Mkiwachelea mmekwisha.
 
Kenya walipambania Katiba Mpya wakapoteeza feedha nyingi sana kwa hilo zoezi, matokeo yake mambo ni yale yale, ufisadi ni ule ule.

Katiba mpyaa sio solution ya matatizo ya mtanzania. Siku watu wotee tukibadili mindset basi taifa litasonga.
Usijidanganye mkuu, Katiba mpya kenya imeleta mabadiliko makubwa. Kwamba ufisadi ni uleule sio kweli. Hukusikia Dci wa Kenya alifungwa kwa kudharau mahakama? Lini umesikia scandal za ufisadi Kenya kama miaka ya utawala wa Moi.
 
Nilijua mkipigwa tutaimba wimbo mmoja. Mlidhani watu wa Pwani wana aibu? Hao aibu siyo sehemu ya maisha yao, wanafanya ujinga halafu wanakuchekea kama siyo wao. Mkiwachelea mmekwisha.
Acha talalila, tunapigwa watanzania wote. Tunahitaji katiba mpya watanzania wote.
 
Back
Top Bottom