Rais Samia, Katiba Mpya ndio suluhu ya matatizo ya Watanzania

Katiba mpya ikikiukwa mtasema nini? Mtataka nyingine tena? Nayo ikikiukwa tena mtataka nyingine tena na tena na tena. Wenzenu wazungu wako tayari kumwaga damu kutetea na kulinda katiba zao. Nyie mtaweza?
 
🤣🤣🤣🤣hongera kwa kulitambua hilo. Hata kama umechelewa sio.mbaya.
 
Sukuma gang naona sasa dawa tulizo kupa umeze zimeanza kufanya kazi.

Hapo bado sana ipo siku tutaongea lugha moja tu.
 
Asante mleta mada itapendeza Watanzania tukiimba wimbo wa Katiba mpya kwa wingi wetu pamoja.
Ungemjua vizuri usinge jisumbua kumaliza calories zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…