Rais Samia: Kazi, Uadilifu na Ustawi wa Taifa

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
MEI MOSI 2026📌

💡Rais amesema: “Ni wajibu wetu sote kushirikiana, kuaminiana na kutanguliza maslahi ya Taifa. Tuendelee kufanya kazi kwa bidii, uadilifu na weledi ili kujenga uchumi imara na ustawi wa jamii yetu.” Serikali ipo na inawasikiliza wafanyakazi.

💡Kwa kuwawezesha vijana, Rais Dkt. Samia ametangaza kutolewa kwa Shilingi Bilioni 200 kama dhamana na mitaji kwa kampuni changa za vijana. Fedha hizi zitawasaidia vijana kuanzisha biashara, kuajiri wengine na kuunda fursa mpya za kazi.

 
Tupo pamoja na Mh. Rais mpaka kieleweke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…