Sheria gani inayomruhusu kwenda mahakamani baada ya uamuzi wa Rais?Mh Rais Samia Suluhu Hassan atakuwa amenukuliwa vibaya kwani rufaa ni utaratibu wa kisheria. Na baada ya maamuzi ya Mh Rais kama mhusika hajarizika sheria inamruhusu kwenda Mahakani.
Mliotaka video, hiyo hapo. Anzia Dakika ya 20:45 na/ au dakika ya 21:20, Rufaa za kipumbavu pumbavuAmekataa rufaa wapi? Kwa maneno gani?
Nimeomba maneno halisi aliyoyatoa rais hapa, mpaka sasa sijayaona.
Naona tafsiri za watu za maneno ambayo kasema rais.
That is hearsay.Hata mahakamani sehemu nyingi hawaruhusu hearsay.
Maneno halisi aliyosema rais ni yapi?
Lakini, amekataa rufaa au rufaa za kipumbavupumbavu?Mliotaka video, hiyo hapo. Anzia Dakika ya 20:45 na/ au dakika ya 21:20, Rufaa za kipumbavu pumbavu
Kisheria, rufaa dhidi ya Uamuzi wa Tume ya Utumishi wa Umma inapelekwa kwa Mhe. Rais. Kwa kuwa watumishi wataendelea kufuata sheria, rufaa zitaendelea kupelekwa kwa Mhe. Rais. Labda kama rufaa husika 'hazitafika' au kufanikiwa ziendako.Kwani sheria inasemaje?
Kisheria watu wanaruhusiwa kukata rufaa kwa rais?
Rais kasema anakataa rufaa za kipumbavupumbavu.Kisheria, rufaa dhidi ya Uamuzi wa Tume ya Utumishi wa Umma inapelekwa kwa Mhe. Rais. Kwa kuwa watumishi wataendelea kufuata sheria, rufaa zitaendelea kupelekwa kwa Mhe. Rais. Labda kama rufaa husika 'hazitafika' au kufanikiwa ziendako.
Mkuu, Rufaa ni Rufaa, ikiwa haina makosa katika uandishi wake, inapaswa kupokelewa na kusikilizwa. Umaana au upumbavu wa rufaa utagundulika baada ya kuipitia/kusikiliza rufaa husika. Ukikataa kuzipokea kwa sababu kwa utashi wako umeziona ni za 'kipumbavu pumbavu' hapo unakuwa umekiuka Sheria. Pokea, Sikiliza halafu toa maamuzi kuwa hii Rufaa ni ya Kipumbavu pumbavu.Rais kasema anakataa rufaa za kipumbavupumbavu.
Wewe unazikubali?
Watu kushinda Rufaa na kurejeshwa kazini au kulipwa stahiki zao haimaanishi kuwa mambo yamefanyika kwa mujibu wa STK kama ulivyosema. Sheria na kanuni zinasema TUME wanatakiwa kusikiliza na kutoa uamuzi wa Rufaa ndani ya siku 90 toka kuwasilishwa kwake, je umeona suala hilo likitekelezwa? Je, si kweli kuwa Rufaa zinakaa huko tume mpaka miaka miwili au mitatu ndio zinatolewa uamuzi?Fuatilia wapo watu wameshinda rufaa zao tume na kurejeshwa kazini na kulipwa stahiki zao zote, ukiona hilo halijafanyika ujue huyo mtu hakustahili. Mambo yote yanafanyika kwa mujibu wa Sheria, Kanuni na Taratibu.
Rais ana haki ya kukataa rufaa za kipumbavu.Mkuu, Rufaa ni Rufaa, ikiwa haina makosa katika uandishi wake, inapaswa kupokelewa na kusikilizwa. Umaana au upumbavu wa rufaa utagundulika baada ya kuipitia/kusikiliza rufaa husika. Ukikataa kuzipokea kwa sababu kwa utashi wako umeziona ni za 'kipumbavu pumbavu' hapo unakuwa umekiuka Sheria. Pokea, Sikiliza halafu toa maamuzi kuwa hii Rufaa ni ya Kipumbavu pumbavu.
Labda ungeeleza maana ya kukataa.Rais ana haki ya kukataa rufaa za kipumbavu.
Alichokosea ni kutotumia mikono ya taasisi ya urais kufanya hilo.
Kama vile kila rufaa inabidi aipitie yeye.
Wakati angeweza kuweka mfumo wa kuchuja rufaa ili yeye zimfikie zenye umuhimu tu.
Labda kashafundishwa na mwendazake kwamba ukiwa rais, washauri wako hawajui kitu.
Rais kasema anakataa rufaa za kipumbavupumbavu.
Wewe unazikubali?
Atake au asitake, Apende au Asipende.Kisheria, rufaa yoyote dhidi ya Uamuzi wa Tume ya Utumishi wa Umma inapelekwa kwa Mhe. Rais
Kasema wanamjazia rufaa ushuzi.Kisheria, rufaa yoyote dhidi ya Uamuzi wa Tume ya Utumishi wa Umma inapelekwa kwa Mhe. Rais