Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Mkalimani wako wa lugha zisizo rasmi na lugha za alama ikiwemo misamiati na Maneno magumu ya kisheria sasa nimekufikia.quid pro quo
Tunataka nyote mlipe kodi kuanzia rais mawaziri ,wabunge na wote ambao wanapata mapato co kuwashikilia watu wengine ambao mapato yao hayakidhi hata matumizzi ya wiki moja.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia Wananchi wa Tunduma Njiani kuelekea Dodoma Mara baada ya Kumaliza Ziara yake Mkoani Rukwa leo tarehe 18 Julai, 2024.