johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
JangiliCc: Sabaya
Kwani Mghwira hakuwa CCM?Wote wale ni CCM hawana tatizo
Kwanini alisumbuliwa sasa?Kwani Mghwira hakuwa CCM?
Kama ambavyo wewe unamsumbua Ole sabaya!Kwanini alisumbuliwa sasa?
Mi sipo CCM, pia huyo ni jangiliKama ambavyo wewe unamsumbua Ole sabaya!
Kwa katiba yetu hakosei na ndio maana akapewa kinga kisheria hayo mambo ya yeye kutokua Mungu unayajua wewe.Rais asikosee kwani yeye Mungu? Rais aache kuheshimu Katiba, Bunge, Mahakama afanye udikteta, dhuluma na udhalimu ikiwemo mauaji halafu Wananchi tukae kimya tu eti Rais huwa hakosei!? 😳😳😳Hebu acha kuandika upuuzi!!!
Hahahaaaa...... Sidhani kama amekuelewa!Kwa katiba yetu hakosei na ndio maana akapewa kinga kisheria hayo mambo ya yeye kutokua Mungu unayajua wewe.
We fala una chuki na Rais,Watakwambia unamsingizia mama
Kauli ya Kipuuzi sana HiiRais hakosei, amesisitiza mama Samia.
Hakuwa CCM. NI ACT wazalendoKwani Mghwira hakuwa CCM?