Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Yule hafai hata kidogoKwa mitusi aliyomwaga kwa yule dereva bajaji sidhani kama atakuwepo kwenye pdf ya wakuu wa wilaya watakaotangazwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule hafai hata kidogoKwa mitusi aliyomwaga kwa yule dereva bajaji sidhani kama atakuwepo kwenye pdf ya wakuu wa wilaya watakaotangazwa
Maana yake iko sawa na unayoambiwa na mama kuwa baba hakosei, tafakari.Kauli ya Kipuuzi sana Hii
kama imara mbona aliteua RAS f4?Rais ni taasisi kubwa imara na makini..sio mtu ....taasisi
Atakuwa amelaaniwa huyo siyo bureSabaya maadili ilikuwa sifuri
Malezi sifuri
Full limbukeni na ushetani.
Ndio uimara wenyewe wamegundua eatu vetting walichemsha na wamebadilisha......kama imara mbona aliteua RAS f4?
👍Kwa katiba yetu hakosei na ndio maana akapewa kinga kisheria hayo mambo ya yeye kutokua Mungu unayajua wewe.
Katiba impempa hayo meno ya kutokosea....
Tuliza matako wewe [emoji23][emoji23]Kwa mitusi aliyomwaga kwa yule dereva bajaji sidhani kama atakuwepo kwenye pdf ya wakuu wa wilaya watakaotangazwa
Kapimwe akili, uliwahi kuona JK amekosea hivyo?Ndio uimara wenyewe wamegundua eatu vetting walichemsha na wamebadilisha......
Una uhakika bwashee?!Hakuwa CCM. NI ACT wazalendo
Mitusi ipi tena jamani?? Au hayo ya atulize matako?? Si tulikubaliana kwamba alimaanisha makalio??Kwa mitusi aliyomwaga kwa yule dereva bajaji sidhani kama atakuwepo kwenye pdf ya wakuu wa wilaya watakaotangazwa
Kapimwe akili, uliwahi kuona JK amekosea hivyo?
SawaUtasubiria sana
Kwa mitusi aliyomwaga kwa yule dereva bajaji sidhani kama atakuwepo kwenye pdf ya wakuu wa wilaya watakaotangazwa