comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 9,019
- 6,825
Huu ndio uongozi
========
"Sensa ya hivi karibuni inaonesha vijana ni takribani asilimia 34 ya watu wote milioni 61 na hali hii inaleta changamoto nyingi, kama ukosefu wa ajira na nyinginezo. Kwahiyo tumefikiri wanaweza kuingizwa kwenye uzalishaji kwenye sekta ya kilimo na tumeanza kutengeneza mazingira mazuri kwa wao kuvutiwa na kilimo na biashara ya kilimo."
Rais Samia ameyasema hayo akiwa katika kikao cha Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Usalama wa Chakula kilichofanyika huko nchini Senegal.