Rais Samia, kiprotokali ni sahihi kumtaja Rais wa Zanzibar kabla ya Waziri Mkuu wa Tanzania?

Chizi ni wewe unayejifanya unajua kumbe ni KANJANJA , hiyo inachekesha unapitwa na mtoto wa form two, katika somo la uraia civics anajua kuliko wewe.

Nenda form two civics TOPIC YA GOVERNMENT, maana katiba kwako ni shida hutoielewa.

Unakomaa na magari bya escort, hizo ni taratibu za kukiuka wazi order of seniority.

Naona upo hapo ulipo kwa kubebwa, kifupi wewe ni mweupe sana kuliko Bambo, Kingwendu na Mtanga, wapo vizuri kuliko wewe.

Avoid to show your ignorance bro, unaabisha sana huko uliko.

Swali la Mwisho ,wewe ulienda shule KUSOMEA UJINGA???πŸ€£πŸ˜…πŸ€”πŸ€£
 
Mungano wetu ulikuwa wa mwl Nyerere na Sheikh Karume ndio maana changamoto haziishi
 
KATIBA SURA YA PILI(SERIKALI) wanaohusika na mamlaka ya serikali ya jamuhuri ya muungano:
-raisi wa jamuhuri
-makamu wa jamuhuri
-raisi wa Zanzibar
-waziri mkuu wetu.
NA HIYO NDIYO PROTOKALI MAANA YAKE.BUT ZANZIBAR TUMEWAMEZA.ukichek hata kiulinzi,mkuu wa jeshi Zanzibar ana cheo cha brigedia generali hivi na anaripoti kwa CDF bara,the same mkuu wa polisi Zanzibar ana cheo cha kamishna na anaripoti kwa IGP bara.ahsante
 
Mungano wetu ulikuwa wa mwl Nyerere na Sheikh Karume ndio maana changamoto haziishi

Na hapo Karume hakuungana na Nyerere ni kuwa aliwekwa na Nyerere kwani mavamizi yalifanywa na Nyerere kwa kusaidiwa na Waingereza
 
Kikatiba Rais wa Zanzibar ni kama Makamu wa Rais wa pili wa JMT ndio maana hata vikao vya baraza la mawazili anaitwa kushiriki akiwepo Rais wa JMT.Katiba ya Tanzania ibara ya 54 kifungu cha kwanza
Hamna kitu, mamlaka ya Rais wa Zanzibar yalikuwa makubwa kabla ya vyama vingi.
Ambapo automatically alikuwa makamu wa Rais, baada ya vyama vingi yalifanyika mabadiliko madogo ya katiba, kikaingizwa kipengele Cha running mgombea mwenza.

Kwahiyo bwatu wengi hudhani hadhi bya rais wa Zanzibar imebaki ilivyo, la hasha, tulitoka huko kuanzia uchaguzi wa 1995 wa vyama vingi
 
Aisee wewe ni zaidi ya chizi unatia hasira hujui chochoteπŸ‘ŽπŸ‘ŽπŸ‘Ž kuandika tu shidaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Vyeo vya serikali utavielewa kwel!!!!!
 
Amejisahau tu. Rais wa Zanzibar ni mtu mdogo sana.
 
Hujui chochote
 
Hujui chochote
 
Swali langu ni je, kati ya Raisi wa Zanibar na Waziri Mkuu wa Tanzania, ni nani mwenye cheo kikubwa?
Kuna kitu kinaitwa the powers hierarchy and the protocol hierarchy.

Utajaji wa majina kwenye events unafuata the protocol hierarchy
1. Rais wa JMT
2. VP
3. Rais wa Zanzibar
4. Waziri Mkuu
5. VP 1 ZnZ
6. VP 2 ZnZ
7. Naibu PM
8. Spika
9. Jaji Mkuu
10. CDF

The Power hierarchy ni
1. Rais
2. VP
3. PM
4. Rais wa Zanzibar
5. Spika
6. Jaji Mkuu
7. VP 1 Zanzibar
8. VP 2 Zanzibar
9. DPM
10. CDF
P
 

Siyo kweli. Kaisome katiba ya JMT.

Rais wa Zanzibar, kwenye JMT, hadhi yake ni kama waziri wa wizara. Na hana mamlaka yoyote kwa JMT, isipokuwa Zanzibar tu. Kabla ya katiba ya mwaka 1977, Rais wa Zanzibar alikuwa ni Makamu wa Rais wa JMT.

Waziri mkuu ni kiongozi wa Serikali ya JMT ambaye mamlaka yake yanafika JMT yote, ikiwemo Zanzibar.

Rais wa Zanzibar ni mjumbe kwenye Baraza la mawaziri la JMT, ambalo viongozi wake kwa mpangilio wa kikatiba ni 1) Rais wa JMT 2) Makamu wa Rais wa JMT 3) Waziri mkuu.
 
Haya mambo huwezi kuyaona katika nchi za wenzetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…