Rais Samia Kiwanda cha Chibuku/ Darbrew LTD kilifungwa tangu mwaka 2018. Muwekezaji yupo lakini Watendaji wa Jiji la Ilala wanakwamisha

Kwahiyo mfanyakazi wa TBL akinywa Heineken maana yake bia za TBL ni chafu?
Imagine mtu anakukuta wewe Dr Matola PhD na PhD yako umekaa banda umiza na kopo lako la Chibuku!!

Mfanyakazi wa TBL akikutwa anakunywa Heineken na ikathibitishwa, anaweza kuchukuliwa hatua za nidhamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…