Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 7,021
- 11,475
Imagine mtu anakukuta wewe Dr Matola PhD na PhD yako umekaa banda umiza na kopo lako la Chibuku!!Kwahiyo mfanyakazi wa TBL akinywa Heineken maana yake bia za TBL ni chafu?
Mfanyakazi wa TBL akikutwa anakunywa Heineken na ikathibitishwa, anaweza kuchukuliwa hatua za nidhamu