macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Katika pombe ambazo ni icon ya Dar es Salaam basi Chibuku ni namba yoja. Kumbe kuna mashetani wamefanya hujuma mbaya namna hii kwa faida tu ya matumbo yao! Hivi waafrika tuna laana gani jamani! Hii pombe ilitakiwa ifanyiwa promotion ili ienee Tanzania nzima na watu waache kunywa pombe hatarishi huko mitaani. Nakumbuka miaka ya nyuma Chibuku ilikuwa inanywewa na watu wa maana kweli kwani ni pombe moja nzuri sana. I hapo mamlaka zitafanyia kazi haya malalamiko yenu ambayo kimsingi ni wazalendo wote.😂😂
Wadau tupambane kwa pamoja kupiga kelele turudishe kiwanda hiki ili sisi,watoto wetu,jamaa na marafiki wapate ajira,200,000 zisizo za moja kwa moja na ajira 150 za moja kwa moja. Tumsaidie mama Samia kuleta sulubu,karibuni CCM,CHADEMA, na vyama vyote na wadau wote tuungane kwenye hili angalau