Rais Samia komesha unadishaji wa mizigo bandarini

Mtu mwenye uwezo wa kuagiza makontena ya biashara nje ndio anaitwa mfanya biashara mdogo? Mjasiliamali?? Okay basi sawa
 
Kwahio unataka ukileta mzigo utoe bure au ukae bandarini bure mpaka utakapoamua kuutoa?!
Nakushauri jipange kabla hujaleta mzigo,ukijichanganya utapigwa mnada na kuna watu shughuli Yao ni kununua mizigo ya minada.
Inawezekana hata wewe ni moja wa watu wanaonufaika na utaratibu mbaya ndio maana unautete sio usitarabu ndio maana watu weusi tunaitwa manyani kwasabu kama hizi
 
Inawezekana hata wewe ni moja wa watu wanaonufaika na utaratibu mbaya ndio maana unautete sio usitarabu ndio maana watu weusi tunaitwa manyani kwasabu kama hizi
Acha kulialia wewe.
 
Mtu mwenye uwezo wa kuagiza makontena ya biashara nje ndio anaitwa mfanya biashara mdogo? Mjasiliamali?? Okay basi sawa
Mawazo ya kimasiki kuagiza container inategemea lina nini ndani pia kuna wafanyakazi wanaagiza vitu mbalimbali kama gari au vitu tofauti akikwama kidogo au mkopo wake ukichekewa kidogo tu kosa watu wanafurahi sio usitarabu sijui kwaninii tuko hivi
 
Sheria za kodi ziko hivo!! Na bandari ndio njia bora zaidi za kukusanya kodi husika. Zisipolipwa hapo huenda zisilipwe kabisa!! Kwa ukwepaji wa kodi ulivokuwa mkubwa, hakuna namna zaidi ya hii.

Shida kubwa ni kuwa wanaouziwa mizigo au hawakufahamu ukubwa wa risk waliyochagua kuichukua walipoanza biashara!! Au walijua na walitarajia kutumia loopholes ambazo sasa haziko! Au walitarajia serikali kusaidia kwa kuwasamehe na kuwalipisha kodi kwa utaratibu tofauti na ulioko kisheria.

Sheria ichukue nafasi yake. Nchi inahitaji mapato na kodi hii ni halali! Tukicheza na kodi hatutakuja kuwahi kutoka hapa tulipo.

Kodi halali na sahihi kwa maendeleo ya nchi!!
 
Ni hatua zipi zinafuatwa kabla ya mzigo wako kupigwa mnada? Au wanakurupuka tu wanapiga mnada? Angalieni tusimbebeshe Mama kila mzigo mingine tuibebe wenyewe.

Swali la msingi sana hilo! Kawaida mnana ni njia ya mwisho kabisa baada ya muingizaji kushindwa kulipa katika siku za kisheria! Hawakitaji jambo hili humu kwa sababu wanadhani huruma ndio njia sasahi ili wachukue mizigo yao.

Mama bado tutamhoji kwanini hiki au kile hakiendi lakini wakati huo huo hatulipi kifi kumwezesha!! Wrong! Sio kila mtu ana uwezo wa kufanya biashara ya ukubwa fulani - minada ndio njia ya kupata kodi halali na kumwondoa asiyeweza!! Mnada unabaki njia pekee ya serikali kupata kitu chake. Naunga mkono mnada!!
 
Umeanza na sheria ya kodi iko hivyo
Kwanza umetumia lugha ya kibabe as if bandari ni Mali yako au mali ya baba yako

sheria yoyote ambayo inasema mlipakodi akishindwa kulipa kodi ya mzigo wake anyang’anywe sijui kama ni sawa kwasabu mzigo kama ni wa biashara unamtozaje kodi Wakati mzigo unao wewe kama sio mbinu za kutaka Kuuchukua

Pili kunadisha mizigo ya watu sio kukusanya kodi,nilazima utumie akili badala ya nguvu,Serekali inategemea kodi kujiendesha inapaswa kuongeza walipa kodi kwakuwawezesha na hawa tayari wameishajiwezesha badala yake unawapoteza kwenye ramani ya kodi akili au matope?

Unaposema ukwepaji wakodi ni mkubwa hapa kwetu umefanya utafiti gani?
nenda office za TRA nchi nzima utakuta watu wamejaa kuanzia asubuhi hadi jioni nani kawasukuma na kuwapeleka pale?

Jambo lingine unapaswa kujua kwamba dunia imebadilika unapaswa kubadilika kifikra na kimtazamo kama tunataka kupiga hatu,Pamoja na kuuza vitu vya watu bado bajet zinapelea tatizo ni nini?
 
Wadau kuna namna yoyote ya kujua garama ya kodi ya mzigo wako itakua Tsh ngapi kabla ya kuagiza? Ili kuepusha haya??
 
I see hii mifumo ya utozaji kodi tuli copy wapi?
 
Kwahio unataka ukileta mzigo utoe bure au ukae bandarini bure mpaka utakapoamua kuutoa?!
Nakushauri jipange kabla hujaleta mzigo,ukijichanganya utapigwa mnada na kuna watu shughuli Yao ni kununua mizigo ya minada.
Dunia lishatoka kwenye hii mifumo tuko kwenye free port sio hii mifumo ya kurudishana nyuma kwanini tusijifunze Dubai na Durban South Africa? kwani unafikiri hizo bandari awakusanyi kodo?

Hawa walichokifanya wametengeza soko kubwa sana ndani ya bandari kuna maduka ya wafanyabiashara ndani ya bandari, mageti yote ya kuingilia na kutoka wameweka watu wa TRA meli zikileta mizigo wanashusha kule ukiuza unalipa ushuru kwakile ulichokiuza kisha unapewa gate pass nfumo huu watu wengi wataweza kufanya biashara kukuza mitaji uchumi wa mtu moja moja na serekali watapa kodi yao, watu wengi watafanya biashara mbalimbali nfano Mama ntilie watauza chakula chai maji, Nchi jirani watakuja kununua mahitaji yao badala ya kuagiza nje bandari itakuwa kivutio kikubwa sana cha uchumi kwenye nchi jirani
 
Mfanyabiashara mwenye uelewa hawezi agiza nje bidhaa kama anaagiza nyanya moro...Jaman ulimwengu wa leo kweli unashindwa kujua mzigo wako kodi itakuwaje? TRA taarifa ziko wazi unajua kabisa kabla ya kuagiza unapiga hesabu zako mapema.. AU unaweza Tumia makampuni kama silent ocean etc wala hata huyo TRA wewe hutakutana Naye wao wanamalizana nae..
Ulimwengu wa usafirishaji na utoa mizigo bandarini umerahishishwa sana miaka hii...otherwise kama unadandia biashara na unajifunza
 
Umekazania mifumo ya kizamani ilopitwa nawaki utafikiri nchi ikokwenye vita! wapi nimesama mizigo ipete bure soma vizuri hoja zangu., Angalia Bandari zingine wanafanyaje achana na mambo ya TRA taarifa zao kuwa wazi sijui silent ocean nataka Tanzania Bandari ya Dar Es Salaam iwe free port watu wauze bidhaa zao ndani ya bandari kisha walipo kodi baada ya mauzo sio kabla ya kuuza huu ndio mfumo wakisasa kama kweli tunataka kupunguza umasikini kupita bandari..

Ukitumika nfumo huu wafanya biashara watafanya biashara zao bila stares ya kulipa kodi kabla jambo amabalo Serekali wapungukiwi kitu badala ya kunadisha mizi ya watu nakuwatia umasiki.

Kuna TN namba kuna National ID kazi zake nini bado unawezakutumika nfumo wakuwapa wafanya biashara mizigo yao kisha wakalipa kodo baada ya kuuza kama Unganda na baadhi ya mchi wanavyofanya badala ya kunadisha mizigo yao nakuwatia watu umasikini.

Kama mabenk wanakopesha pesa wafanya biashara kwanini Sereakili isiweke nfumo mzuri wakuwakopa wafanyabiashara kodi wakalipa baada ya muda badala ya kunadisha mizigo yao.

Wananchi wakiwa masikini kwakushindwa kufanya biashara pia Serekali itakuwa masikini ifike muda tubadili jinsi ya kufikiri tuwe wabunifu, sio kwaubaya ni maoni yangu.

Mwisho hizi kodo mnatutoza hadi kunadisha mizigo ni kubwa sana pia nyingi sana.
 
Ameshindwa vitu vidogo saana hivyo unavyotaka kumpa ni vya kuumiza kichwa. Saa 100 hataki vitu vigumu .akiona mambo yanamahinda anakimbilai kubinafsiaha hiyo TPA
 
Watakuwa wameshaakusanya na za wajukuu zao
 
Mtu hata biashara zakuuza mafungu ya nyanya barabarani inamshida anawaza kuuza mizigo ya watu wengine na kuwatia umasikini hata wanunuzi nao sio watu wazuri machoji ya muagizaji Ndio maana watu wengi wanapata sana ajali
Laana nandarin kuna umafia mwing sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…