Rais Samia komesha unadishaji wa mizigo bandarini

Rais Samia komesha unadishaji wa mizigo bandarini

Alafu chawene na Tulia wanasema vijana wajiajiri ye mwenyewe ukimtoa uwaziri na Ubunge hali mbaya! Kama tu Mama akitoa mikeka wanasimamisha magari kuwasha ac waone Kama wako kwa mikeka, ujue kujiajiri kugumu! Na huyu anayesimamisha gari kuona Kama kaendelea na teuzi ameshakaa Serikalini Ana hela ya kuanza biashara, anamshangaa kijana ambaye hana hata kianzio au mtaji

Mimi nilijiajiri nilikua na mtaji wa dolla efu 40 ccm na sera zao mbaya za uchumi waliuza mizigo yangu bandarini container la 40ft kwakisingizio cha kukosa kodi.

Nikisikia mwana ccm anaongea habari za vijana kujiajiri na namchora tu,tangu wameuza mizigo yangu bandarini sijasimama tena hadi leo, wanitia umasikini na kunibebesha nzigo wa madeni, yaani nawachukia nyie ccm kuliko maelezo,nyie ndio chanzo cha umasikini wa watanzania,kilasiku namuomba Mungu yaitishwe maandamano tuiondoe ccm madarakani wanatumiza kisha wanatuona manyani.
 
Kwahio unataka ukileta mzigo utoe bure au ukae bandarini bure mpaka utakapoamua kuutoa?!
Nakushauri jipange kabla hujaleta mzigo,ukijichanganya utapigwa mnada na kuna watu shughuli Yao ni kununua mizigo ya minada.
Iwezekani hapa kwetu kusiwe na utaratibu mzuri wa free zone, pili mtu kama wewe unaoneka hujui kitu ndio nyie mnauza mizigo ya watu kisha mnasema vijana ni wavivu kujiajiri,

Unauza mzigo wangu unajua mtaji nimeupataje?kwa akili hizi TRA TX base ya walipa kodi itaendelea kushuka chini kwasababu ya sera za kishamba za kuuza mizigo ya watu bandari.
 
Anaesema Vijana mjiajiri😥😢


Anapaki gari kuangalia mkeka kama bado kateuliwa na jasho juu na ameshakaa serikalini miaka kazunguka wizara zote sio kwamba anaanza 😇😇😇
 
Back
Top Bottom