Alafu chawene na Tulia wanasema vijana wajiajiri ye mwenyewe ukimtoa uwaziri na Ubunge hali mbaya! Kama tu Mama akitoa mikeka wanasimamisha magari kuwasha ac waone Kama wako kwa mikeka, ujue kujiajiri kugumu! Na huyu anayesimamisha gari kuona Kama kaendelea na teuzi ameshakaa Serikalini Ana hela ya kuanza biashara, anamshangaa kijana ambaye hana hata kianzio au mtaji
Mimi nilijiajiri nilikua na mtaji wa dolla efu 40 ccm na sera zao mbaya za uchumi waliuza mizigo yangu bandarini container la 40ft kwakisingizio cha kukosa kodi.
Nikisikia mwana ccm anaongea habari za vijana kujiajiri na namchora tu,tangu wameuza mizigo yangu bandarini sijasimama tena hadi leo, wanitia umasikini na kunibebesha nzigo wa madeni, yaani nawachukia nyie ccm kuliko maelezo,nyie ndio chanzo cha umasikini wa watanzania,kilasiku namuomba Mungu yaitishwe maandamano tuiondoe ccm madarakani wanatumiza kisha wanatuona manyani.