Rais Samia kuanza safari ya kikazi nchini DR Congo

Safi Sana madam President,Rais wa DRC alikujaga hapa na alimualika Jiwe
 
Acha upopoma anaweka sawa mahusiano na mambo ya uchumi ambavyo viliharibiwa na Jiwe
 
Ya Kenya na Uganda na Rwanda zimekuwa na tija.Hii ya Zambia na Malawi zilikuwa za kujitambulisha tuu.

Shida ya Congo sio watu au rasilimali bali amani na kukosekana kwa miundombinu.

Kama kuna wajeda wetu huko akawasalimie.
 
Nchi ime mshinda akirudi ni kusign tu ma pepar bila ata kusoma awahi safari nyingine
Wewe huwa unasoma kitu gani kabla ya ku sign tuanzie hapa kwanza.

Mwisho leta chokochoko afu utajua nchi imemshinda au haijamshinda.
 
Na wewe kama umepukutika akili ni shauri yako na waliokuzaa..ni ajabu kuhoji na kuuliza maswali ya kipumbavu kama hayo.

Nakupa mfano mdogo Sana wa Burundi,kuna kampuni kubwa ya Burundi inajenga kiwanda cha mbolea Dodoma na ni baada ya mazungumzo na Mama mwanzoni kabisa baada ya kumfukia Magu.

Huo ni mfano mdogo tuu ila kwa kuwa wewe ni CDM umeshikiliwa akili na Mbowe endelea kuwa mjinga na kulia Lia mitandaoni.
 
Achana na mgonjwa yule ,alitunga excuse ya kupunguza gharama kumbe mgonjwa,akajisahau akawa anasafiri kwa msafara wa Magali mengi Sana mkoa hadi mkoa.

Hakuna anaeweza kuleta gharama za msafara ila ukipanda ndege ndio gharama.

Huu ni upumbavu kama upumbavu mwingine,naunga mkono Rais kusafiri kuweka mambo sawa.
 
Nimeshaanza kuzitaja katika comment yako ya nyuma na tutazijadili sana hapa.

Kwa hiyo unataka kusema kuwa Kenya ndiye kipaumbele chenye tija kwa Tanzania kuliko mataifa yote duniani?🀑🀑🀑
Kwa uelewa wangu hakuna taifa linaloongoza kuwa kipaumbele chenye tija kwa Tanzania. Zipo nchi nyingi tunazoshirikiana nazo kila moja ikiwa na mchango wake wenye tija kwa maendeleo ya Tanzania zikiwepo Kenya, Burundi,Zambia,DRC,Uganda, Rwanda etc.

Kwa comments zako it seems wewe una list unayozi-rank nchi duniani na tija zake kwa Tanzz=ania. Hebu tuwekee hapa na evidences zake
 
Hizi hasira inaonekana huna hela.
 
Umeanza kujikanyaga sasa, kumbe ni muumini wa mikopo inayokuza deni la taifa kila kukicha eenh? Ndiyo maana tunapishana. Kwahiyo kipaumbele chenye tija ni ushawishi wa kupata mikopo zaidi na kukuza deni la taifa eenh? Hapo ndiyo nilishasema tangu mwanzo mimi naona ule utaratibu wa kwenda kuwalamba miguu wazungu na kopo la kuomba misaada na mikopo mkononi zilishapitwa na wakati. Kwanini tusikuze regional integration tupate pesa kuliko kukimbilia mikopo?
 
Kiguu na njia nyumba kaisahau haoni kabisa ugumu wa maisha ulivyotamalaki na hajali ndiomaana kila kukicha ni tozo tozo tozo. Nilikuwa nawaamini sana Kisiwani kama watu wenye hofu ya Mungu na kujali maisha na hali za binadamu wengine ila kwa hali hii ya maisha vululyvululu iliopo basi.
 
Mimi nilikuwa namhoji mleta comment ili nijue majibu anayotoa yapo official kiasi gani au ni porojo tu.

Sawa Mkuu,

Naomba Mkuu na mimi nidedicate hicho kifurushi cha hoja za maswali kwenye komenti yako #17 ya uzi huu...

Vinginevyo Mkuu utakuwa mtu unayesimamia usichoamini kama kina Gwajigirl.
 
Hizi safari anazo andaliwa maza naziona kama ni za kimtego kimtego hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…